Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Juzi alisingizia mvuaMh. January Makamba, kuwaongopea na kuwadanganya wananchi haina afya kwa taifa. Kama wizara hii uliikuta na makando kando mengi, ni vyema ukakaa pembeni ili usipoteze sifa yako ya uongozi.
Tenesco wanatangaza mgao tena, yaani watu warudi kwenye manunuzi ya generator? Ni shughuli ngapi za kiuchumi zitakuwa zinakwama kwa kukata umeme? Hasara itakayopatikana nani wa kuifidia?.
Wakati wa JPM haya mambo tulishayasahau, mnataka tena turudi kule, huko wapi uchumi wa kati.
Unajibu masuala ya kukosekana kwa umeme ambayo sijauliza mimi.Masuala ya kukosekana kwa umeme ni ya kwako hayo.Kuzimwa na kukatika kwa umeme kunapelekea kukosekana kwa umeme...
Soma tena jibu langu utaelewaUnajibu masuala ya kukosekana kwa umeme ambayo sijauliza mimi.Masuala ya kukosekana kwa umeme ni ya kwako hayo.
Mimi nimekuuliza kuwa kuzimwa kwa umeme kunapelekea kukatika kwa umeme au hakupelekei kukatika kwa umeme?
Nime ona hilo tangazo kumbe wana zima ili ku weka mashine mpya za uzalishaji wa umeme wanacho sema ni kwamba gesi izalishwe kwa wingi na wao wata kua na uwezo wa kuzalisha mega wati nyingi.Zimeanza lini?, ndani ya miaka mitano iliyopita hatukuwahi kuona au hata kusikia taarifa ya mgao wa umeme nchi nzima.
Boss wake ameshasema hafukuzi mtu hata akikosea mara 3 ya 4 ndio atamuona hana uwezo ila sio kumfukuza😂Janu Makamba halafu kuleni kwa urefu wa kamba zenu hizi kamba zitatunyonga mwaka huu!
Are you serious kuandika kuwa wakati wa JPM haya mambo ya kukatika umeme tuliyasahau? Au umeandika kumsifia tu kama walivyo Watanzania wengi wajinga???.
Wakati wa JPM haya mambo tulishayasahau, mnataka tena turudi kule, huko wapi uchumi wa kati.
Ni kweli gas hata kama ni ghali ila ina uhakika, haya ya maporomoko ya maji ni bei nafuu ila kwa sasa kuna mabadiliko ya tabia nchi.Are you serious kuandika kuwa wakati wa JPM haya mambo ya kukatika umeme tuliyasahau? Au umeandika kumsifia tu kama walivyo Watanzania wengi wajinga??
Nikuhakikishie kuwa kama JPM angekuwa na akili nzuri ange implement gas project ya Kinyerezi 3 & 4, kuliko kwenda kukopa Matrillion ya Shillingi za Kitanzania kujenga Bwawa la JNHPP huko Selous.
Pili kwa taarifa yako umeme wa Kinyerezi 1 & 2 unachangia 800 MW ambazo ni 60% ya mahitaji ya Nchi nzima. Na hiyo ni 6% tu ya gesi ya Mtwara
Magufuli aliwadanganya wajinga tu na kama hamtazinduka ndiyo kwisha kazi.
Januari ana kosa gani?kwanini hamuwi objective,lawama za kijinga hazina maana
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Are you serious kuandika kuwa wakati wa JPM haya mambo ya kukatika umeme tuliyasahau? Au umeandika kumsifia tu kama walivyo Watanzania wengi wajinga??
Nikuhakikishie kuwa kama JPM angekuwa na akili nzuri ange implement gas project ya Kinyerezi 3 & 4, kuliko kwenda kukopa Matrillion ya Shillingi za Kitanzania kujenga Bwawa la JNHPP huko Selous.
Pili kwa taarifa yako umeme wa Kinyerezi 1 & 2 unachangia 800 MW ambazo ni 60% ya mahitaji ya Nchi nzima. Na hiyo ni 6% tu ya gesi ya Mtwara
Magufuli aliwadanganya wajinga tu na kama hamtazinduka ndiyo kwisha kazi.
🤪🤪🤪 Eti, kuku kapanda baiskeli,,,,,,,,, upuuzi mtupu.Huo mgao utatokana na matengenezo kwenye mitambo ambayo haikufanyiwa matengenezo kwa muda mrefu sababu wahusika waliogopa kutumbuliwa(maana wangehitajika kukata umeme kwa dharura ili kufanya matengenezo jambo ambalo kipindi kile lingewaletea matatizo)......
Huu ndio muda muafaka wa kufanya matengenezo lasivyo hata huo umeme wa mgao tunaweza kuukosa.
Hivi mbona nchi nyingine nje, uwa sisikii swala la mategenezo ya mitambo kusababisha ukataji wa umeme? Je wao utumia technologia ya namna gani? Tujifunze kwao basi.Huo mgao utatokana na matengenezo kwenye mitambo ambayo haikufanyiwa matengenezo kwa muda mrefu sababu wahusika waliogopa kutumbuliwa(maana wangehitajika kukata umeme kwa dharura ili kufanya matengenezo jambo ambalo kipindi kile lingewaletea matatizo)......
Huu ndio muda muafaka wa kufanya matengenezo lasivyo hata huo umeme wa mgao tunaweza kuukosa.
Yaana Haoni haya kumtetea mtu anaye vuruga mfumo mzima wa UCHUMI wa nchi kwa mgao wa umeme siku 10?hivi ninavyo andika hapa umeme umekatika na hujui watu wanaathirika vipi kwa kukosa umeme kama unakula kwa shemejiyako tuliza kaliyo.
Unasema hana tatizo unataka tumlaumu nani umeme ukiwa unakatwa kila mara!,
Hakuna cha kusoma jibu lako.Jibu swali langu!Soma tena jibu langu utaelewa
wanatumia mitambo ya SOFTWARE na CONSULTANT Kutoka nchi za mbele.....🤪🤪🤪Hivi mbona nchi nyingine nje, uwa sisikii swala la mategenezo ya mitambo kusababisha ukataji wa umeme? Je wao utumia technologia ya namna gani? Tujifunze kwao basi.
Hivi ni kweli miaka yote sita ya JPM kama hakukuwa na mategenezo hiyo mitambo si ingekufa kabisa? Yangu macho tuone baada ya haya matengenezo je umeme sasa utapatikana muda wote?
Huko nyuma mlisema matengenezo, mara hakuna mvua, mara mchina anatumia maji mengi kwa kilimo cha mboga huko Ruvu, yaani kila siku visingizio kibao!
Wameambiwa wale kulingana na urefu wa kamba ! Na wazir hana sifa zozote za uongozi ni watu wanaobebwa na ccm na mwisho wa siku wanaliachia taifa madeni makubwa #tunataka katiba mpya #Mh. January Makamba, kuwaongopea na kuwadanganya wananchi haina afya kwa taifa. Kama wizara hii uliikuta na makando kando mengi, ni vyema ukakaa pembeni ili usipoteze sifa yako ya uongozi.
TANESCO wanatangaza mgao tena, yaani watu warudi kwenye manunuzi ya generator? Ni shughuli ngapi za kiuchumi zitakuwa zinakwama kwa kukata umeme? Hasara itakayopatikana nani wa kuifidia?
Wakati wa JPM haya mambo tulishayasahau, mnataka tena turudi kule, huko wapi uchumi wa kati.