Tetesi: January na Nape kutimkia CHADEMA wakati wowote kuanzia sasa

Uchaguzi uwe mgumu sababu ya January?
Get serious bro!!!
 
ujio wa E.L cdm uliki boost chama sana. katika historia ya cdm haikuwahi kupata kura nyingi za vile NGAZI ya urais na hata wabunge na madiwani waliweka rekodi. chama kilipata kuziongoza Halmashauri kadhaa zaidi ya historia iliyokuwepo.

Inasemekana Lowasa alishinda ule uchaguzi ni kwa vile tu "system" haikumkubali, hivyo hakutangazwa.
 
 

Attachments

  • cup-of-tea-teapot.gif
    319.2 KB · Views: 1
Wa mwisho kupokelewa na kupewa nafasi kubwa CDM,ni marehemu Edward Lowasa,,hakuna mwingine mwenye nguvu kana Edo
 
kuna mpango wa Siri ambao ukifikia steji flani huwa sio Siri tena. Siri zote hufikia hatua ya kufichuka.


JESUS IS LORD&SAVIOR
Umemuelewa mleta mada lakini?

Kasema ''Kama mpango wao wa siri utafanikiwa...'' hii ina maana kua huo mpango bado ni siri na bado haujafanikiwa,

Cha ajabu hiyo siri yeye kaijua na kaianika hapa ila bado anaiita ni siri!
 
Acha bangi.
Hawawezi kwenda maana watanyang'anywa kila walichonacho kwani vingi na vya wizi ambao wezi wenzao wanafahamu walikoviiba.
 
Magufuli aliwaamini lakini alikuja gundua Hawa Jamaa ni mashetani akaamua kuachana nao kabisa. Tulishangaa kuona Samia anawarudisha. Hao ni matapeli haswaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…