Japan: Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe afariki dunia baada ya kushambuliwa kwa risasi

Huyo kajitoa muhanga na lolote liwe, katika hali hiyo kumzibiti kiulinzi mtu wa aina hiyo ni kazi kubwa sana. Hii inanikumbusha jinsi alivyouawa Rais wa Misri Anwar Sadat alipokuwa uwanjani mbele ya walinzi wake.
Hata Marekani Marais wengi tu wamewahi kuuuawa kuanzia Kwa akina Lincoln ,Kennedy na wengine wengi Hadi presidential candidates kama Robert Kennedy miaka ya 70
 
Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe amefariki dunia baada ya kupigwa risasi alipokuwa akihutubia kwenye kampeni za uchaguzi wa ubunge katika mji wa Nara nchini humo.

Abe (67) alipigwa risasi mara mbili ambapo moja imempata kifuani na nyingine mgongoni ambayo ilisababisha aanguke chini.

Waziri Mkuu wa sasa wa nchi hiyo, Fumio Kishida alisema mtuhumiwa alikamatwa baada ya kumpiga risasi Abe.

Abe, ambaye alikuwa waziri mkuu aliyekaa muda mrefu zaidi madarakani nchini Japan, alijiuzulu mwaka 2020 akitoa sababu za kiafya.

Alirithiwa na mshirika wake wa karibu Yoshihide Suga, ambaye baadaye nafasi yake ilichukuliwa na Fumio Kishida.

 
Lowassa ni mcha Mungu.
Anasamehe tofauti na huyo mwenzake.
Hakuna cha ucha Mungu pale..
Ni ile basi tu anaonekana hivyo lakini sivyo alivyo... mbona alimkaanga mwakyembe baada ya kumchoma kwenye richmond... sema tu ikawa bahati ile sumu aliyopewa haikuweza kumuua iliishia kumharibu ngozi tu
 
Japan imeendelea kiuchumi lakini udikteta umeendelea zaidi..
Watu wao hawana uhuru
Hii ni kawaida kwa Japan ukizingua unazinguliwa.
Watawala mnawakwaza sana walipa kodi wenye nchi…
Oy sikia huyu..
Demokrasia Japan Ni ya kutosha pengine kuliko nchi yoyote ya Mashariki ya mbali.
Hivi waafrika mkisikia demokrasia kwa akili zenu mnafikiria Ni utekelezaji was kila kitu mlichokisoma darasani form 2 na chuoni?
Freedom of mass media.
Movement freedom.
Free election.
Freedom to protest, strike nk.
Hivi vitu hata Marekani hakunaga.
Ukiwa mpiga kelele utabanwa tu! Snowden alikuwa mpigakelele Bora! Yuko wapi?
Assange alikuwa mpigakelele Bora Yuko wapi?
Hao wote wametoka katika nchi zenye kile kiitwacho demokrasi
 
Viongozi wastaafu wanalipwa na serikali kwa gharama ya walipa kodi lakini bado wapo majukwaani kila leo. Kanda ya ziwa wazanaki wana methali 'nyangarukira yariri Murongo'. Rip Abe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…