Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mkuu Copping, asante sana kwa hii.Cc: pascal Mayalla
[emoji848][emoji23][emoji23]Mtafute sasa polepole upate uteuzi,yaani unafahamu njia ya kupita kupata uteuzi ila bado unahangaika na mabandiko ya kusifu.
Duh...!.Amehonga Bajaji Iringa ili Nyerere ashinde!
Duh! Haufuatilii matukio ya zawadi au misaada kabla ya uchaguzi?Duh...!.
P
Nitafuatilia.Duh! Haufuatilii matukio ya zawadi au misaada kabla ya uchaguzi?
Jamaa yupo vzr sanaBinafsi nimeanza kumfatilia Polepole kwa ukaribu wakati wa mchakato wa mabadiliko ya katiba mpya Kuna vitu kadhaa nimeviona ndani yake ukiachilia hicho cheo alichonacho kwa sasa, katika hali ya kawaida huwezi kuelewa ukiweka ushabiki wa kivyama mbele. Ana nguvu ya ushawishi na hoja, nafikiri ndiyo sababu iliyomfanya kupanda madaraja kiuongozi kwa haraka haraka.
Kamuacha Nape mbali sana,Yes, Polepole ni very powerful. Anaweza kuongea na yeyote dakika yoyote. Lakini pia yuko vizuri upstairs
Hata Mimi kitambo tu hata kabla hajaingia kwenye CCM ,Ilikuwa channel Ten, alialikwa na Msigwa ,aisee Msigwa alitaka kukimbiaLong time ago mimi nilipomuona pole pole na kumsikiliza nilijua he is not an ordinary person!
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Utasubiri sana!.Mwengine ni Polepole ukimaliza uchaguzi anatupwa nje
Chief naomba unipe conection naye aisee namkubalu SANAUtasubiri sana!.
P