Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

Leo alikua wasafi gospel alikua anahubiri, very fascinating. Alikuwa anaelezea kuhusi siku za mwisho etc. Nilijua ni msabato ila ni mlutheri.
Ila nasikia kila sehemu anaacha watoto
 
Mi nilijua it was foolish day.

Kumbe una nia ya dhati ya kuchukua Jimbo!!!!!

Umeanza kwa kumpamba kwa kukunadi!!!

All the best anyway
 
Kabisa Mkuu, kwa utawala huu wa MKONO WA CHUMA hicho cheo cha Polepole hata angepewa Msukuma (yule Mbunge) au Kibajaji bado wangeonekana MAJEMBE TU.
 
Hana lolote.Njaa tu yeye na hao anaowaongoza.Bado kumtoa nyaa mkulu.
Wkt wa bunge la katiba alituonyesha ni mtu tofauti lkn picha yake halisi ni hii ya Sasa.
 
Binafsi nimeanza kumfatilia Polepole kwa ukaribu wakati wa mchakato wa mabadiliko ya katiba mpya Kuna vitu kadhaa nimeviona ndani yake ukiachilia hicho cheo alichonacho kwa sasa, katika hali ya kawaida huwezi kuelewa ukiweka ushabiki wa kivyama mbele. Ana nguvu ya ushawishi na hoja, nafikiri ndiyo sababu iliyomfanya kupanda madaraja kiuongozi kwa haraka haraka.
Jamaa yupo vzr sana
 
Yes, Polepole ni very powerful. Anaweza kuongea na yeyote dakika yoyote. Lakini pia yuko vizuri upstairs
Kamuacha Nape mbali sana,

Nape alikuwa bingwa wa siasa Majitaka

Polepole aliwahi kumbananisha Peter msigwa kwenye Kipind cha Channel Ten kabla ya kwenda uchaguz mkuu 2015

Msigwa akapaniki na kutoa matusi


Pole pole kwa Kujenga na kupangua hoja sio poa kabisa
 
Long time ago mimi nilipomuona pole pole na kumsikiliza nilijua he is not an ordinary person!

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Hata Mimi kitambo tu hata kabla hajaingia kwenye CCM ,Ilikuwa channel Ten, alialikwa na Msigwa ,aisee Msigwa alitaka kukimbia

Pole pole ni Nyoko kwenye Kupanga na kupangua hoja ,anajua nini aongee na nini asiongee

Huyo Mbwa hafai kabisa , ni kati ya watu wachache niliowashuhudia wanaojua kujenga na kupanga hoja tena kwa unyenyekevu


Lisu anajua kupanga hoja na kupangua ,shida hana unyenyekevu


Polepole nashangaaga wanasema eti hajavaa viatu vya nape

Polepole ni namba nyingine kabisa ile, Angalia jinsi alivyokuja kupangua hoja ya Trillion 1.5 kwa ufasaha

Nape hawezi kile kitu .

Nape alikuwa bingwa wa siasa za majitaka, Nape ndio alidai lowassa kainunua Chadema Billion 5
 
Back
Top Bottom