Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

Utasubiri sana!.
P
Mkuu hata kwa Makonda ulimpamba sana lakini leo hatajwi hata na radio KASIBANTE ya Bukoba Mjini

Wanasiasa na Binadamu hubadilika , baada ya uchaguzi huu Bashiru na Polepole wanaondolewa na hii ni compromise ambayo itafanyika na manguli wa siasa plus Deep state ili kuiokoa CCM 2025 , tofauti na hapo chama kinapotea mazima

Kwa hali ya sasa CCM ina hali mbaya sana tokea iwepo ,kinachofanyika ni kujikaza kisabuni na kutumia msaada wa Dola

Baada ya uchaguzi tukivuka salama tukakwepa Sanctions za Magharibi, tushukuru sana
 

Polepole yupo vizuri sana msikilize hapa ..... ..... ... ... . Ding .....Dong!
 
Baada ya uteuzi wa leo wa Humprey Polepole, nimemsikiliza tena huku nimetulia, na wewe ukimsikiliza huku umetulia, utakubaliana na mimi, hiki ni kichwa cha ukweli!.

Kiukweli JPM ana suka timu nzuri.
Hongera Polepole kwa uteuzi,
Mteuzi, amekiona kwako nilichokiona hapa!.
Just keep up being the way you are!.

P
 
Naunga mkono hoja.
P
 
Naunga mkono hoja, na sasa huyu ni Waziri mtarajiwa!.
P
 
Naunga mkono hoja.
P
 
Mkuu sipo kwaajili ya mnyukano wala ubishani, jaribu kumtazama kwa jicho la tatu huyu jamaa Kuna vitu utaviona ukishindwa kufanya hivyo uachie muda utatoa majibu mazuri siku za mbele, hata usijihangaishe kwendelea kuni-quote sitajujibu chochote.
Siku za mbele zenyewe ndio hizi zimeanza... subiri jina kwenye cabinet...
P
 
Kama hicho cheo ni kikubwa kama mnavyosema, mbona kakubali ubunge?

Sijui una akili gani huyo kateuliwa kua mbunge then waziri kamili, polepole kwenye chama kafanya kazi kubwa sana na anaenda serikalini kutekeleza majukumu mengine, kwa akili yako mjumbe wa sekretariet ya ccm unamuona mtu mdogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…