baro
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,129
- 4,028
Mkuu hata kwa Makonda ulimpamba sana lakini leo hatajwi hata na radio KASIBANTE ya Bukoba MjiniUtasubiri sana!.
P
Wanasiasa na Binadamu hubadilika , baada ya uchaguzi huu Bashiru na Polepole wanaondolewa na hii ni compromise ambayo itafanyika na manguli wa siasa plus Deep state ili kuiokoa CCM 2025 , tofauti na hapo chama kinapotea mazima
Kwa hali ya sasa CCM ina hali mbaya sana tokea iwepo ,kinachofanyika ni kujikaza kisabuni na kutumia msaada wa Dola
Baada ya uchaguzi tukivuka salama tukakwepa Sanctions za Magharibi, tushukuru sana