Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

Namkubali sana huyu jamaa. Msikilize asemayo ni ukweli mtupu !.
P
 
Heheh, this is a joke, huyo jamaa is irrelevant kwa sasa, aliokota embe kwenye mwarobaini Ila kwa sasa msimu wa maembe umeisha aisee ndio ajipange.

He is totally irrelevant na Hana pa kushika na hao wanaomdanganya hawana nguvu Ila wanaamini kwenye kaumoja kao ambako mama ameshaanza kuuvuruga watanyimwa chakula njaa iwapate wenyewe watasurrender.

Hako kajamaa kamepagawa just like the rest of the clowns of his caliber
 
So smart siku nyingi nasemaga Africa haitakiwi kujifunza Maendeleo Europe badala yake iangalie East Asia
Binafsi ata mimi naamini hivi! Unajifunzaje kwa mtu aliekawachukua mateka watu na kuwafanyisha kazi ngumu bila malipo alafu alipowatoa akawaletea haki za binaadamu?
 
huyu ni kunguru kama wewe tu wewe ulivyo kunguru wa maisha.
Mkuu Daudi Mchambuzi, kama ilivyo kwenye kusoma, kila mtu mwenye kujua kusoma, anaweza kusoma kila kitu ila ni watu wachache tuu kati ya wengi wenye uwezo wa kusoma in between the lines . Vivyo hivyo kwenye kusikia, kila mwenye masikio anaweza kusikia kila kinachosemwa, lakini ni wachache wenye uwezo wa ku listen in between the words, na ndio maana hata our Lord, Jesus, sometimes, spokes in parables so that only those of the marching understanding can understand!. It's very very unfortunately, you might be one of them wanaotoka kapa kwenye mabandiko yangu na kutomwelewa Polepole.
P
 
Mayalla,Mayalla kweli ni wewe au wa hack account yako?Kumfananisha na Nyerere ni sawa na kufananisha Liverpool na Ihefu.No innuendo intended. Ni ujinga wa hali ya juu.
Mkuu Tui , Mwalimu Nyerere was a great man, hivyo kwa mtu anayeonekana ni wa kawaida, kumfananisha na a great man, utaonekana ni glorifying an ordinary man into a great man. Inahitaji mtu mwenye analytical abilities with critical thinking na logical progression. Kiukweli sio wengi humu wanamjua Nyerere kwa kumfanyia analytical analysis hivyo Polepole wanamchukulia poa. Jifunze kitu kinachoitwa critical thinking na logical progression upate analytical abilities. Huu ni uwezo. Jaribu tena kumdurusu Polepole hapa Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

Usiuangalie ukawaida wa Polepole, angalia hiyo extra ordinary yake.
P
 
Heheh, this is a joke, huyo jamaa is irrelevant kwa sasa, aliokota embe kwenye mwarobaini Ila kwa sasa msimu wa maembe umeisha aisee ndio ajipange.

He is totally irrelevant na Hana pa kushika na hao wanaomdanganya hawana nguvu Ila wanaamini kwenye kaumoja kao ambako mama ameshaanza kuuvuruga watanyimwa chakula njaa iwapate wenyewe watasurrender.

Hako kajamaa kamepagawa just like the rest of the clowns of his caliber
Hahahahaahahahah. "Watanyimwa chakula njaa iwapate "

Nakubaliana na wewe mkuu, Lowassa alikuwa na nguvu kubwa sana lakini tunajua namna alivyorudi Chamani pale ofisi za Lumumba hahaahahha
 
huyu ni kunguru kama wewe tu wewe ulivyo kunguru wa maisha.
Tena huyu kushinda kunguru ,ktk watu wabaya wanaotumia kalamu kwa maslahi yao basi huyu ni mmoja wao na huyo anatumia mdomo wake juzi kati alimponda kiongozi fulani leo katujia na misifa ya pole pole ,huyu kunguru mwitu kazi yake ni fitna tu juu ya fatna suka blad.
 
Pascal mayalla, jaribu kulinda heshima yako kidogo iliyobaki.
Unaleta post ya hovyo kiasi hili,!!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Nasikitika sana, kumbe hata wewe Mkuu nguruka wa kig0ma huna uwezo wa kusoma threads zinazohitaji analytical mind and abilities!. Pole.

Ili kumjua huyu sio mtu wa kawaida, lazima kwanza umsikilize, pili uwe na uwezo to listern in between the lines.
P
 
Back
Top Bottom