Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

Polepole ana roho ya kinyonga ila ngozi yake ni ya kobe, ni ngumu kama nini sijui halafu ni mnafiki mjanja
 
Nasikitika sana, kumbe hata wewe Mkuu nguruka wa kig0ma huna uwezo wa kusoma threads zinazohitaji analytical mind and abilities!. Pole.

Ili kumjua huyu sio mtu wa kawaida, lazima kwanza umsikilize, pili uwe na uwezo to listern in between the lines.
P

I can imagine. Mama akimteua Polepole kushika kawadhfa ka maana serikalini au ndani ya chama naamini atakuja na wimbo mpya; wimbo ulio bora kabisa na wa tofauti kuthibitisha kuwa kazaliwa upya - mara ya tatu (kisiasa).

Kipaji extraordinary cha usanii. Sivyo?
 
Nasikitika sana, kumbe hata wewe Mkuu nguruka wa kig0ma huna uwezo wa kusoma threads zinazohitaji analytical mind and abilities!. Pole.

Ili kumjua huyu sio mtu wa kawaida, lazima kwanza umsikilize, pili uwe na uwezo to listern in between the lines.
P
Mkuu,hoja hii ungeileta kwa mtu mwingine nje ya polepole ningekuelewa sana.
Mkuu polepole huyu ukamlinganishe na Nyerere?

Huyu huezi kulinganisha hata na Ally hassan mwinyi.
ANA RANGI NYINGI SANA

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Muda ni mwalimu mzuri sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Polepole ataitikisa ccm
Bahati mbaya katikisa tawi huku kalikalia akijikuta na yeye anatikisika

Alipotikisa sana, kwa nguvu zake zote akajitikisa na yeye mwenyewe mpaka akakosa balance

Kwakuwa hakuwa sehem ya mti mtikisiko ulivyozidi yeye akaanguka mti ukabaki palepale

Dooo!!! Hana jinsi tena amesha anguka inabidi akae kwenye kivuli cha mti huohuo kuugulia maumivu

Balozi Malawi !!!???

Mnaikumbuka hadithi ya Abuu N'nuwasi na tawi la mti [emoji16][emoji16][emoji16] bakini umo umo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ulichosema ni kweli Polepole ni mtu mzito kuliko tunavyofikiria, nimewahi kwenda ofisini kwake Kwa ishu za hapa na pale, jamaa ana wasaidizi wasiopungua watano rasmi.

Kuanzia usalama, dereva, waandishi anafanya mawasiliano na watu wote wakubwa wa serikali kuanzia Rais, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na vyombo vya usalama.

Anaweza akaamua Pascal leo ulale kituoni ukalala, usichukulie poa huyu komrade, tokea nimeenda ofisini kwake na kufanya naye mazungumzo nimetambua jamaa ana nguvu sana ndani ya serikali na chama, usichukulie poa. Mawasiliano ya Moja Kwa Moja na wakuu wengi anayo
Mh. We naye [emoji1787]

Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
 
Hana nguvu yoyote, kwasababu hana support yoyote anayotegemea, sio ya kifamilia wala kihistoria. Wala hana mizizi yoyote ndani ya chama. He is just a nobody. Ni kwamba anapepeta tu mdomo. Otherwise he is no body
Chama Sio mwisho wala kilele cha nguvu nchini!!nakuonya !wapo wenye nguvu wasio onekana!!wenye nchi yao!!Trust me maamuzi ya Mama kum eliminate kisasa pole pole ku m cost uraisi wake!!!Note this comment my friend!!
 
Mkuu hata kwa Makonda ulimpamba sana lakini leo hatajwi hata na radio KASIBANTE ya Bukoba Mjini

Wanasiasa na Binadamu hubadilika , baada ya uchaguzi huu Bashiru na Polepole wanaondolewa na hii ni compromise ambayo itafanyika na manguli wa siasa plus Deep state ili kuiokoa CCM 2025 , tofauti na hapo chama kinapotea mazima

Kwa hali ya sasa CCM ina hali mbaya sana tokea iwepo ,kinachofanyika ni kujikaza kisabuni na kutumia msaada wa Dola

Baada ya uchaguzi tukivuka salama tukakwepa Sanctions za Magharibi, tushukuru sana
Ummmh nimekuinulia mikono ndugu yangu....ww c wa kawaida
 
Wenye nchi yao !! Well let's wait and hope for the better to come !! Maana nasikia wapo pia wenye chama chao !! Karma is a bitch ! Yetu macho na masikio !!
Chama Sio mwisho wala kilele cha nguvu nchini!!nakuonya !wapo wenye nguvu wasio onekana!!wenye nchi yao!!Trust me maamuzi ya Mama kum eliminate kisasa pole pole ku m cost uraisi wake!!!Note this comment my friend!!
 
Back
Top Bottom