ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
Iyo vita haina faida kwa pentagon,Biden kashachomoa hataki vita tena kaingia mitini amajificha kwenye vikwazo sasa hivi vita kataki tena
Sijui ila unajua Wewe.Hivi unajua kama vikosi vya Russia viko kilometers 10 ili kuufikia makao makuu ya Ukraine?
Done.Hapo chini edit andika Urusi wanakwenda kukutana
Mimi napenda kuwe na Vita tu Duniani.Vita sio nzuri
hilo sahau, marekani haipigani vita ambayo inafahamu itashindwa. ipo mifano mingi, Marekani ilijaribu kuingia Vietnum ikaangukia pua mbele ya mrusi, ikajaribu somalia ikaangukia pua, ikajaribu syria ikaangukia pua.Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.
Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.
Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.
Marekani wana Akili na Mikakati mno. Urusi ( Russia ) wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambfapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Wamarekani wa Tandale mpo very disappointed kuona USA amebaki kubweka tu kama mbwakoko. Mliaminishwa USA ndio mbabe pekee kwenye hii dunia. Mtapata taabu sana maana hakuna cha USA wala NATO watakaotia mguu kwenye huo musiki wa RussiaKuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.
Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.
Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.
Marekani wana Akili na Mikakati mno. Urusi ( Russia ) wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambfapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Umenena vyema kabsaIyo vita haina faida kwa pentagon,
Watu wanalazmisha usa aingie kiushabiki ushabiki tu,
Ataumia and he will gain nothing,vita ziko mbili hapo ya makombora na ya uchumi,
Vita ya uchumi ipo wazi kwa pentagon kushinda,
Na ndo side wameamua watake..
Hujui pia urusi ina wayahudi wa kutosha wengine ni ma oligarch kule.........wakina abramovic wa urusi wapo wengi sana hapo Israel na ndio maana kule syria urusi kuna baadhi ya maeneo alikua akikaushia israel wakipigaKuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.
Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.
Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.
Marekani wana Akili na Mikakati mno. Urusi ( Russia ) wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambfapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Marekani amefanya nini kwa iraki, Libya, afghanistan, Vietnam, syriaRussia haina msaada wowote kuistarabisha dunia, majitu ya hovyo hovyo kama zilivyo nchi nyingi za mashariki...angalau mjapani kwa mbaaali
Norh korea na Iran kaogopa kuingiza mguu, ndio awaweza Russia? Aliweza kuingia Iraq kwa mbwembwe baada ya kumchunguza na kuona hakuna kituhilo sahau, marekani haipigani vita ambayo inafahamu itashindwa. ipo mifano mingi, Marekani ilijaribu kuingia Vietnum ikaangukia pua mbele ya mrusi, ikajaribu somalia ikaangukia pua, ikajaribu syria ikaangukia pua.
israel=USAKuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.
Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.
Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.
Marekani wana Akili na Mikakati mno. Urusi ( Russia ) wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambfapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Eastern europe dhiki na umaskini vimetamalaki nakumbuka nilifanya kazi na myukreni aisee alikuwa anapambana kwelkwel aende kuishi US au canada nikamuuliza why hizo struggle maana alifanya kazi congo then akaja Tz tena kwa mshahara wa kawaida tu akasema anachokipata TZ ni kikubwa hawezi linganisha kama angekuwa anafanya kazi yukreni. Watz waliosoma eastern europe wengi wao wakirudi bongo wapo frustated huwezi compare na waliosoma US , Canada au other western countries. Ndiyo maana ni nadra sana eti kumkuta mtu anapambana aende ishi western countries maana hamna issue huko wao wenyewe wanapambana watoke waende Western. Nakumbuka wazee wengi waliosoma russia miaka hiyo wakaoa warusi na kurudi nao bongo wanawake wengi wa kirusi ikawa wanatafuta wanaume wa western hasa US na akipata tu watz ikawa ndo wanaachwa solemba.Binafsi siwakubali wazungu wa Eastern Europe. Kwanza wabaguzi halafu ni masikini sana. Ukifanya nao kazi ni njaa tupu
Wapo Waafrika wengi Hungary na Nchi za huko falsafa ya mtu kushindwa kwake na kukimbilia sehemu tofauti haipo kama unavyodhania maana Wahindi Tanzania ni Nchi yao katika mafanikio ila Watanzania wengine wanaamini katika kwenda mbele zaidi...Eastern europe dhiki na umaskini vimetamalaki nakumbuka nilifanya kazi na myukreni aisee alikuwa anapambana kwelkwel aende kuishi US au canada nikamuuliza why hizo struggle maana alifanya kazi congo then akaja Tz tena kwa mshahara wa kawaida tu akasema anachokipata TZ ni kikubwa hawezi linganisha kama angekuwa anafanya kazi yukreni. Watz waliosoma eastern europe wengi wao wakirudi bongo wapo frustated huwezi compare na waliosoma US , Canada au other western countries. Ndiyo maana ni nadra sana eti kumkuta mtu anapambana aende ishi western countries maana hamna issue huko wao wenyewe wanapambana watoke waende Western. Nakumbuka wazee wengi waliosoma russia miaka hiyo wakaoa warusi na kurudi nao bongo wanawake wengi wa kirusi ikawa wanatafuta wanaume wa western hasa US na akipata tu watz ikawa ndo wanaachwa solemba.