ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
Iyo vita haina faida kwa pentagon,Biden kashachomoa hataki vita tena kaingia mitini amajificha kwenye vikwazo sasa hivi vita kataki tena
Watu wanalazmisha usa aingie kiushabiki ushabiki tu,
Ataumia and he will gain nothing,vita ziko mbili hapo ya makombora na ya uchumi,
Vita ya uchumi ipo wazi kwa pentagon kushinda,
Na ndo side wameamua watake..