Japo Urusi ni hatari akisaidiwa na Korea Kaskazini, China na Iran, ila kwa Kikosi cha Marekani kilichotua mpakani bado Marekani ni Mbabe wa dunia

Russia says they already have a substitution for import of semiconductors — sanction the west praised the most
 
Unavyozungumza ni kama Russia anampiga Mmarekani na NATO kwa wakati mmoja, kumbe ni vita ambavyo NATO na US walisema tokea awali kuwa hawatashiriki uwanja wa vita.
USA NA WAJINGA WENZAKE WALIWEKA MKWARA MBUZI KWA KIDUME. Sasa kidume kaishadindisha huko, kazi kwenu
 
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.

Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.

Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.

Marekani wana Akili na Mikakati mno. Urusi ( Russia ) wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Warusi Mchina na Wamarekani wote ni binadamu tu. Vietnam, Afghastan na North Korea walituonesha hilo.
 
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.

Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.

Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.

Marekani wana Akili na Mikakati mno. Urusi ( Russia ) wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Utabiri au habar husomeki bwashee
 
hilo sahau, marekani haipigani vita ambayo inafahamu itashindwa. ipo mifano mingi, Marekani ilijaribu kuingia Vietnum ikaangukia pua mbele ya mrusi, ikajaribu somalia ikaangukia pua, ikajaribu syria ikaangukia pua.
maslai
 
Wamarekani wa Tandale mpo very disappointed kuona USA amebaki kubweka tu kama mbwakoko. Mliaminishwa USA ndio mbabe pekee kwenye hii dunia. Mtapata taabu sana maana hakuna cha USA wala NATO watakaotia mguu kwenye huo musiki wa Russia
USA akishinda vita anapata nn ?'
 
Mbona hawajamsambaratisha mparestina kama wana hizo telnolojia hao wa Israel wako
duh ushawai ona waisrael wanawashambulia wapalestina bila wap kushambuliwa kwanza ? mara zote wapalestina huanza kushambulia so waisrael hujibu tu mapigo wala hawana ajenda ya kuwasambaratisha
 
Leo viongozi wa umoja wa ulaya ni wa kukataa kupokea sim za rais wa Ukraine [emoji3][emoji3][emoji24]
rudi ucoment tena ,wenzio wanatua Kyiv daily kula selfie na the babilon mwemyew Zelewinsky
 
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.

Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.

Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.

Marekani wana Akili na Mikakati mno. Urusi ( Russia ) wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Jamaa ndo kashasema mambo yakiwa magumu annachia nuclear zake dunia tuikose sote.
 
Haya umeyaandika ukiwa umesimama mlango wa choo gani?
 
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.

Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.

Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.

Marekani wana Akili na Mikakati mno. Urusi ( Russia ) wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Israel hana kitu anaweza mfanya mrusi. Ni kwamba tu wewe sio well informed. Wiki ya kwanza tu ilivyoanza vita, waziri wa mambo ya nje wa Israel haraka sana alienda Russia kujisalimisha na kusema wao hawatojihusisha na vita. Ndo maana mpaka leo huwezi kusikia habari ya Israel huko Ukraine. Anajua muziki wa Russia. Kitu Russia atafanya ni kumpa tu silaha za maana Iran amkalishe. Kama Israel hamuwezi Iran atamuweza Urusi?
 
Back
Top Bottom