Japokuwa nimeoa lakini wanawake ndio chanzo cha wanaume kufa mapema kwenye ndoa/familia

Nakubaliana nawewe. Kuna jamaa yangu ni mtendaji Huwa anasema akiona mwanamke anakuja analia ofisi Huwa hamsikilizi kabisa kabisa hata kama anamfahamu.
Huyo mtendaji ana akili nyingi sana na Mungu aendelee kumbariki aendelee kuwa na hizo busara za kuona kile ambacho wanaume wengi hawakioni.

Wanaume wengi sana huwa wanapumbazwa na crocodile tears(machozi ya kinafiki) ya wanawake...

Moja ya silaha kubwa ya mwanamke anapotaka kufanya manipulation ni KULIA wanajua kwamba ni rahisi sana mwanaume kuwa upande wake akiona anabubujikwa na machozi.

Natamani watu kama huyo mtendaji ndio washike nyadhifa muhimu zinazohusu utatuzi wa migogoro ya kijamii.. maana watakuwa wanafanya maamuzi ambayo yako Fair bila upendeleo wowote wa kijinsia.

Kuna dawati la jinsi niliwahi kumsindikiza bro wangu kipindi ana migogoro na mke wake, tukawakuta jamaa Fulani wawili aisee wale jamaa sitawasahu kwa jinsia walivyokuwa wanamkandamiza bro licha maelezo ya pande zote mbili kuonesha kwamba mwenye makosa ni mke wake, ikabidi mpaka Kuna mmama hivi kiongozi wao aingilie kati na kutoa maamuzi yaliyo fair..!!
 
Hii ndo silaha yao kabisa pia akiwa mawindoni ni kuangalia kwa mahaba kana kwamba mmeshawahi wekeana miadi ikafeli na kwa sasa yupo tyr kumbe utapeli tu
 
Kwenye kujipoteza hapo ndo tutaendelea kuisha kabisa na watoto kuishi bila msaada wowote. Nachowaza Mimi kitendo kama hicho namtanguliza mbele za haki. Kwa namna yoyote Ile ila Mimi sio kujimaliza!!

Ifike sehemu tukubali kuishi kimafia yule jamaa alichoma mke Kwa magunia mawili na uhakika alikuwa mzima wa afya sema wehu umekuja baada ya tukio Hilo!
Kweli kujimaliza napo ni ufala tu, Cha kufanya ni kutekeleza Hilo jambo kwa usmart wa Hali ya juu sana kiasi kwamba hata ukija kushtukiwa ni baadae sana.

Kuna Dokta mmoja alimpoteza mke wake ikaja kujulikana baada ya miaka takribani 10 kupita... So ni heri tu uje ukamatwe kuliko kujiua.

Kuhusu yule mwamba wa magunia mawili ya mkaa nafikiri mpaka kufikia 2034 atakuwa uraiani.
 
jamaa hadi sasa ana 87% za kurudi uraian maana dr kasema alikuwa kichaa
 
Feminist campaign Iko juu sana Kwa Sasa. Kwa sababu inapigiwa debe kwasa na baadhi ya media kama EATV Basi mabinti wanayachujua kama yalivyo bila kujua wenzao wanalipwa ujira Kwa maneno hayo!
Huwa naskilizaga EAST AFRICA RADIO Kila jumamosi hasubui kwenye vile vipindi vyao vya watoto ambapo mijadala Mingi Inakuwaga ni ya kijinsia.....nnabaki nasikitika tu.

Yaani naona kabisa mtoto wa kiume anaandaliwa Kuja kuwa mtumwa wa mwanamke, maana mada zao karibu zote huwa ni za kumfundisha mtoto wa kiume jinsi ya kuishi na mwanamke... Kiufupi tu pale kinachofanyika ni emasculation ya Hali ya juu.
 
Nina muda sisikilizi haya maredio na hata hizo tv zao.Niabu tupu mara zote naona clip za yule dada mwenye makucha marefu sana anawaambia wanwake hupaswi kumpikia mme,kufua nk yaani kazi zote. hadi wao wenyewe wanaona hapa wanaingizwa chaka
 
Na kila siku tunawasisitiza, kama sisi ndio mzizi wa tatizo wasioe au waoane wao kwa wao wakamilifu.

Kuoa mnaamua wenyewe kisha deile povu. Stay away from women jamani!!!!
Waoane tu wao kwa wao malaika ili mambo yawe mepesi. Kila kukicha ni makelele tu; "wanawake this, wanawake that"
 
Nina muda sisikilizi haya maredio na hata hizo tv zao.Niabu tupu mara zote naona clip za yule dada mwenye makucha marefu sana anawaambia wanwake hupaswi kumpikia mme,kufua nk yaani kazi zote. hadi wao wenyewe wanaona hapa wanaingizwa chaka
Hili kuamini hili taifa tayari limeshapoteza uelekeo kimaadili na tunaanda jamii ya ovyo sana huko mbeleni ambayo itakuwa inaishi kwa chuki na kutoelewana baina ya mwanaume na mwanamke, huyo Joyce Kiria ana platform yake ambapo anaitumia kusambaza hizo toxic advices kwa wanawake wenzie na Tena huwa anapewa mpaka fund ya kuendesha hivyo vipindi.

Hivi kwenye jamii ya watu makini mtu kama Joyce Kiria aanzaje kupewa platform ya kuongea upumbavuu kama ule???

Medias za kibongo zinatumika kuiangamiza jamii bila ya wao kujua.
 
Nilikuwa nimemsahau jina ndo yeye wanasema ni mkurya. yule ukisikiliza kwa umakini zile clp unaona wazi kabisa sio
anasema kwa utashi wake bali anafadhiliwa na mifuko inasapot huu ujinga .Ni hatari sana sana
 
Vitabu mlivyoandika nyie wanaume ndo tukae vinatupelekesha?

Watu sio wajinga bwana!
Una uthibitisho wowote usiokuwa na shaka kwamba kilichomo kwenye hivyo vitabu vya dini kiliandikwa na mwanaume????

Na pia kama viliandikwa na mwanaume kwanin kwenye zile sections ambazo zinawafavor nyie wanawake huwa mnakuwa so hurry kuzitaja na kumtaka mwanaume azifuate???(Sina haja ya kuzitaja ni sections zipi hizo)
 
Nilikuwa nimemsahau jina ndo yeye wanasema ni mkurya. yule ukisikiliza kwa umakini zile clp unaona wazi kabisa sio
anasema kwa utashi wake bali anafadhiliwa na mifuko inasapot huu ujinga .Ni hatari sana sana
Yule sio mkury ni mchaga wa huko kibosho.

Ni mmoja ya watu wanaotumika kuiangamiza family stability ya kitanzania, maana mafundisho yake yanalenga watu kuachana na kutoheshimiana ndoani
 
Back
Top Bottom