Japokuwa watu usema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na tabia hii kwa mkeo ?

Ni we umemwendekeza kwanini akupe masharti na we ukubali?!!,,hii imenikumbusha mwanamke fulani,alikuwa akiweka vitambaa vya kijani kwenye makochi sebuleni,siku hiyo mme ajue mechi itakuwepo,akiweka rangi nyekundu ajue hakuna mechi siku hiyo,haya yote anapanga ye mwanamke pale tu anapojisikia,na janaume linafata tu huo utaratibu,,mme kama karogwa vile,,anamtumia kama mdoli vile,eeh!!!
 
Umeolewa hujaoa
 
Una uhakika huyo ni mke wako? Au ni mtu mliyekubaliana mkae pamoja lakini ana mume wake huko nje?
 
K ya mkeo uliikuta na km ngapi? Kuna mahala inasoma imetembea km ngapi?!
Itakuwa km zaid ya laki nilikuta mpaka kizazi kimeshalegea alaf anazuga na maombi wakati ukweli anaujua kuwa kashachoropoa sana nakuywa madonge ya uzazi,
Mtoto wa kwanza tu kwa mbinde na kulala bedrest juu!
 
Wewe kashakujua unapenda sana chini, anashindwa kukatalia ndiomana anakutuma tuma hovyo.!!

Cha kufanya jitahidi uwahi kutoka kazini ili umsaidie kazi zote ili akupe kwa uhuru thawa 😹
 
Umeolewa mwana.....daaah ...
 
Wewe ndio una matatizo, wanawake wapo kibao umbembeleze mke kwani ni special
 
Vumilia tu. Maana duniani hakuna wanawake wengine.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe ndio una matatizo, wanawake wapo kibao umbembeleze mke kwani ni special
Mleta mada ni dhaifu sana ndio maana anatawaliwa,kitendo cha kuleta uzi wa aina hii in public kinathibitisha hilo,

Hii issue wala haihitaji mtu akushauri,angeifukuza hiyo Mbuzi iende kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…