rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Mtafutie msaidizi na hakikisha anajua nenda na vitu unamwambii hii ya mwenzako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeolewa hujaoaJapo kuwa wanasema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na ili
Kuna Tabia ambayo mke wangu anayo ya kutaka kunimiki kisa sex nakunipelekesha kwa kutumia njia ya sex
Nikiomba sex kwake kwa akili yake yeye ndo anaona amepata avantage ya kunitumisha na kunimiliki utasikia nifanyie ivi nenda kanichukulie kitu fulani ukirudi tutafanya mambo inakuwa mengi mpaka unachoka wewe mwenyewe nikikataa kweli sex sipati
Nimejaribu kusema kuhusu tabia hii lakini naona inaendelea
Itakuwa km zaid ya laki nilikuta mpaka kizazi kimeshalegea alaf anazuga na maombi wakati ukweli anaujua kuwa kashachoropoa sana nakuywa madonge ya uzazi,K ya mkeo uliikuta na km ngapi? Kuna mahala inasoma imetembea km ngapi?!
Umeolewa mwana.....daaah ...Japo kuwa wanasema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na ili
Kuna Tabia ambayo mke wangu anayo ya kutaka kunimiki kisa sex nakunipelekesha kwa kutumia njia ya sex
Nikiomba sex kwake kwa akili yake yeye ndo anaona amepata avantage ya kunitumisha na kunimiliki utasikia nifanyie ivi nenda kanichukulie kitu fulani ukirudi tutafanya mambo inakuwa mengi mpaka unachoka wewe mwenyewe nikikataa kweli sex sipati
Nimejaribu kusema kuhusu tabia hii lakini naona inaendelea
Wewe ndio una matatizo, wanawake wapo kibao umbembeleze mke kwani ni specialJapo kuwa wanasema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na ili
Kuna Tabia ambayo mke wangu anayo ya kutaka kunimiki kisa sex nakunipelekesha kwa kutumia njia ya sex
Nikiomba sex kwake kwa akili yake yeye ndo anaona amepata avantage ya kunitumisha na kunimiliki utasikia nifanyie ivi nenda kanichukulie kitu fulani ukirudi tutafanya mambo inakuwa mengi mpaka unachoka wewe mwenyewe nikikataa kweli sex sipati
Nimejaribu kusema kuhusu tabia hii lakini naona inaendelea
Vumilia tu. Maana duniani hakuna wanawake wengine.🤣🤣🤣🤣🤣Japo kuwa wanasema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na ili
Kuna Tabia ambayo mke wangu anayo ya kutaka kunimiki kisa sex nakunipelekesha kwa kutumia njia ya sex
Nikiomba sex kwake kwa akili yake yeye ndo anaona amepata avantage ya kunitumisha na kunimiliki utasikia nifanyie ivi nenda kanichukulie kitu fulani ukirudi tutafanya mambo inakuwa mengi mpaka unachoka wewe mwenyewe nikikataa kweli sex sipati
Nimejaribu kusema kuhusu tabia hii lakini naona inaendelea
Mleta mada ni dhaifu sana ndio maana anatawaliwa,kitendo cha kuleta uzi wa aina hii in public kinathibitisha hilo,Wewe ndio una matatizo, wanawake wapo kibao umbembeleze mke kwani ni special