Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oghopa mkuu, ni hatari!
Unanyimwa huku wajiona sasa ndoa ya nn ? Kuwaridhisha wazazi na watu usionekane muhuni?Oghopa mkuu, ni hatari!
Tendo la ndoa ndiyo msingi wa ndoa mkuu.Unanyimwa huku wajiona sasa ndoa ya nn ? Kuwaridhisha wazazi na watu usionekane muhuni?
Ndiyo msingi lakini Kuna haja gani ya kubaniwa ?Tendo la ndoa ndiyo msingi wa ndoa mkuu.
huu uzi ufungwe solution hii hapa 📌📌Piga chini aibane bane akiwa kwao.....
Unaoa ugundue nini?Japo kuwa wanasema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na ili
Kuna Tabia ambayo mke wangu anayo ya kutaka kunimiki kisa sex nakunipelekesha kwa kutumia njia ya sex
Nikiomba sex kwake kwa akili yake yeye ndo anaona amepata avantage ya kunitumisha na kunimiliki utasikia nifanyie ivi nenda kanichukulie kitu fulani ukirudi tutafanya mambo inakuwa mengi mpaka unachoka wewe mwenyewe nikikataa kweli sex sipati
Nimejaribu kusema kuhusu tabia hii lakini naona inaendelea