Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

Mkuu

Huyo Fike Wilson alishawahi kuwa bingwa wa Kickboxing Tanzania enzi hizo, baadaye akahamia kwenye masumbwi (boxing) kabla hajafungua gym pale Sinza na Kinondoni...ndio huyo hapo kwenye mlango wa gari.

Upelekezi unapaswa kuanzia kwake.
Huyu jamaa ana sura ya ujana kabisa we unasema Fike Wilson? Maana Fike alipokuwa anasumbua sinza sisi tulikuwa shule ya msingi leo mimi nina miaka 40 alaf Fike aonekane mdogo kuliko mimi??
 
Dah kweli sisi kama raia tuna safari ndefu sana kujikwamua. Nafikiria hii hali ingetokea mkoa wa mbeya au hata mkoa wa mara dah! Hata mbibi wa miaka 60 anaweza kureact kutoa msaada wowote ule.
Najiuliza hivi nchi yetu ikaingia vitani na wakahitajika wanaume wa kunolewa chap kisha kuingia vitani watapatikana kwel ndani ya mkoa wa dar na pwani?
 
Sawa.
Kwa hiyo huyu ROSTAM alikuwa na ana NGUVU SANA KULIKO HIZI SERIKALI YAANI ILIYOPITA JPM NA HII TULIYONAYO?

Maana JPM na ROSTAM walikuwa MARAFIKI mpaka wakazindua TAIFA GAS yao na mengine mengi.
Lkn huyuhuyu ROSTAM akasema majaji na mahakimu hawako huru ni watu wa kupigiwa simu tu na kufanyia kazi maagizo.

Ni kweli ROSTAM anaizidi serikali tuliyonayo nguvu?
Kama ni kweli,basi ROSTAM hana makosa,wenye makosa ni hao wenye mamlaka kutokutuambia kuwa wamezidiwa.
 
Sasa hapa umeandika nini wewe fala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…