Jaribio la kumuua Trump: Kwanini aliyetoa taarifa kwa Secret Service na polisi kuwa juu ya paa kulikuwa na mtu mwenye silaha alipuuzwa?

Kama ni kweli mamlaka za usalama hususani CIA hawamtaki basi asahau kurudi white house....

CIA wana power kubwa sana juu ya nani anatakiwa kuingia white house unless otherwise hizi ziwe ni nadharia tu na sio uhalisia.
 
Kwenye matukio kama hayo mtu wa kwanza kuhisiwa ni yule aliye madarakani.kumbuka huo ni mchezo wa siasa sio ujambazi.
mkulima akitaka kuuliwa basi mtu wa kwanza kumuhisi ni mfugaji
Haaaa hapo siyo Biden na chama chake tu ....bali yupo Zelensky na ukraine...bwana Zelensky anajua vizuri kuwa trump hawezi kuangaika na ukrain dhidi ya mrussi ..hivyo inawezekana tukio ilo ni kutokea ukraine pia.
 
Uzi ufungwee!!
 
HISTORIA JINSI ILIVYO KAMA MANAGEMENT YA C.I.A IKIWA HAIPENDEZWI NA SERA ZAKO ...................WAO WANA KUWAISHA MAPEMA TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU ..................USIJE WALETEA NUKSI BUREEEEEEEEEEEE
 
Huyu whistleblower awe makini nae..
Angekuwa Africa msala wote angeshushiwa yeye
 
Ila Mimi nawaza kama tukio staged Kwa baadhi wanavyodai na wengine kusema kutokuwepo Kwa secret service kwenye jengo alipokuwa shooter it was planned, ina maana shooter alijitolea uhai for sake of politics?
Staged hadi iondoke na uhai wa mtu bullets fly huwezi uka stage kirahisi namna hiyo masuala ya shooting kwa US ni mengi sana na hili likiwemo
Mfumo haumtaki kabisa trump kama ambavyo trump pia hautaki mfumo kwa hiyo nadhani huu ndio utakuwa uchaguzi brutal sana kwa marekani kuwahi kushuhudia na huenda akapigwa tena risasi au apunguze baadhi ya ratiba za kampeni
 
Jamaa wameharibu vibaya sana ,wameamsha zile hisia za JFK...Na JFK alikua mkatoliki, huku pembeni Putin anasema hiiiiii.......huku nae alishasogea Cuba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…