FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 1,916
- 3,850
Kama ni kweli mamlaka za usalama hususani CIA hawamtaki basi asahau kurudi white house....Naamini idara za usalama za Marekani nazo hazimtaki Trump ashinde urais.
Wakati ule Trump akiwa Rais wa Marekani sera zake zilionekana kumbeba Putin, mpaka wapo waliosema Putin kafanikiwa kuliwekea taifa la Marekani Rais. Hii ilikuwa kama kashfa kwa wamarekani.
Je, this time watakubali Trump ashinde Urais? kwasababu inavyoonekana, ushindi wa Trump ni sawa na ushindi kwa Putin, mbaya zaidi wakati huu kuna vita kati ya Russia vs Ukraine, huku USA kila siku akitoa misaada ya kijeshi kwa Ukraine.
Donald Trump, J.F Kennedy in the making.
CIA wana power kubwa sana juu ya nani anatakiwa kuingia white house unless otherwise hizi ziwe ni nadharia tu na sio uhalisia.