Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #141
Hakuna mtu anayeweza kumess up na risasi mkuu, nakubaliana na wewe.
Pili, mpaka sasa Trump amekuwa na uwezekano mkubwa wa kushinda Urais kuliko mpinzani wake yeyote yule hasa Biden ambae anaonekana umri umemtupa.
Aiseee basi ni hatari sana ndiyo maana magu alikuwa anatembea na lile gari lenye miantena.Mita 100 ni karibu sana, hata mita 400 au 500 Sniper anakutoa kwa one shoot.
Wakikusudia kukuua lile gari yamkini lisiwe na msaada.Aiseee basi ni hatari sana ndiyo maana magu alikuwa anatembea na lile gari lenye miantena.
Sasa kama Trump alishajipatia Marks nyingi kuliko Biden, kulikuwa na haja gani ya yeye kustage kifo? Haiwezekani mkuu, wanaosema jamaa amejichorea hii ramani nawakatalia.Sikupingi
BWANA ASIPOULINDA MJI AULINDAYE AKESHA BURE.Wakikusudia kukuua lile gari yamkini lisiwe na msaada.
Duh!.... hatari hii.....basi jamaa angeweza kumuua Trump huku Secret service wakimshangaa tuNnachohisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tayari alishakuwa kwenye range yao
Ameen, hakika uhai upo kwenye mikono ya Mungu. Asipotaka yeye basi hakuna mwanadamu awezaye kuuondoa.BWANA ASIPOULINDA MJI AULINDAYE AKESHA BURE.
Unless the LORD watches over the city, the watchmen stand guard in vain.
Utajaza mwenyewe:
View attachment 3043217
Hata Trump angekufa kwenye tukio hilo, bado lingebaki tu kuwa ni mauaji ya kisiasa, usifananishe siasa na ugaidi, siasa ni ulaji, ugaidi ni upumbavu wa kiimani.Utajaza mwenyewe:
View attachment 3043217
Anagombania uhuru aliyetaka kuuwa?Hata Trump angekufa kwenye tukio hilo, bado lingebaki tu kuwa ni mauaji ya kisiasa, usifananishe siasa na ugaidi, siasa ni ulaji, ugaidi ni upumbavu wa kiimani.
tuko pamojaHuyo kauwawa kwa sababu kakosa range yaani kashindwa kazi asiendelee kuharibu mchongo.
Under 20 bibi yakoYou look sad.
Binafsi huwa Sina muda na watu wenye mihemko.
Ulikuwa unaweza kuuliza ama kuelezea bila kutukana. Hope wewe ni under 20.
Aliwahiwa kuuliwa,kama wasingemuwahi angemimina risasi nyingi zaidi. wathington pots wako sahihi kabisa,sema wabongo tunajifanyaga tunajua kukosoa sana.Halafu eti Washington Post wanasema secret service aliye muua shooter ali save a former President life. Former president alipona kwa sababu jamaa hakulenga body mass, siyo secret service. Jamaa angelenga body mass sasa hivi tungekuwa tunaimba parapanda.
Sahihi.tuko pamoja
Na Putin pia hana tamaa ya kuimeza Ukraine, yeye aitaka Donbass.Trump alishasema haungi mkono juhudi za Putin kutaka kuimeza Ukraine.
Hakuna cha wabongo wala nini ile ni sanaa kama movie zao tunazoangalia kila siku., Wale walijipanga tu, akaigiza wakammaliza, siyo kwamba walimuwahi. Ni uongo na Ujinga tu kujidai mnaelewa sana.Aliwahiwa kuuliwa,kama wasingemuwahi angemimina risasi nyingi zaidi. wathington pots wako sahihi kabisa,sema wabongo tunajifanyaga tunajua kukosoa sana.
Hiyo ni kwa sababu alipita tu hapo, hakusimama wala hakushuka kwenye gari eneo hilo, ndo maana hawakushughulika na hilo jengo.Ob
Obama alipokuja,akipita morroco...nilikua Airtel Lile jengo,sikuona jengo likiangaliwa
Yaani unawalaumu wenzako kuwa waelewa sana wakati huo huo wewe mwenyewe unataka kuonekana una uelewa sana kwa unacho kuwasilisha? 😂😂😂😂Hakuna cha wabongo wala nini ile ni sanaa kama movie zao tunazoangalia kila siku., Wale walijipanga tu, akaigiza wakammaliza, siyo kwamba walimuwahi. Ni uongo na Ujinga tu kujidai mnaelewa sana.