Naona watu mshatengeneza conclusions zenu.
Yaani hili taifa watu huwa wanajiona wao ndio CIA, KGB, MOSSAD wao na bullshit kibao.
Politics ina mambo mengi sana na kila kitu kinawezekana.
Huenda ni kweli ilikuwa planned na existing gvt, huenda ni mtu tu binafsi alikuwa na sababu zake nje na hapo maana huyo ni business man, lakini pia huenda ni staged na yeye mwenyewe kuwin uchaguzi kirahisi.
Tusipende kuanza kutengeneza theory zetu na kutoa conclusion kama kawaida yetu.