Kwa namna gani? fafanua.Habari imepotea njia huku.Ipelekeni kwejarida husika na kichwa cha habari pia kimepotea njia.Peleka kwenye njia yake,usitufanye woote mahahira kama wewe.Kidogo kidogo anatambulika duniani.....
Ninamtabiria makubwa kuwa ndiye atakayekuwa RAIS bora kabisa mwanamke kuwahi kutokea duniani......
SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin🙏
Huyu hapa kamsafishia njia Tundu Lissu kwa akina Robert Amsterdam na CDU weee ila bado wazungu "View attachment 1980055wanaielewa" sana CCM zaidi ya wengine....
🤣🤣🤣Mkuu hebu acha pang'ang'a za kitoto basi....Kafanye tafiti. Umesoma lakini umesalia kama Dodoki. Nina Ndugu zangu Wawili walikuwa na HIV( Tested na walikuwa wanatumia ARV) wamepona kwa Dawa za Kienyeji.
Giza nene.Ni mchana njia haionekani,giza limetanda ghafla.Wizi kamuibia nani ?!!
Dhulma kamdhulumu nani ?!!
Kwa kweli akiachana kuwaminya wapinzani ana nafasi kubwa sana ya kuwa juu.Hivi huwa mnatazama mambo kiakinifu au Ni kuropoka tu tukishashiba. Mama ndo afanane na Mandela kweli? Kwa hiyo, huyu mama anawazidi Mkapa, Nyerere na hata Kikwete?
Wa hiyo sasa wewe unaenda kulia?Kichwa hakiongei mkuu 🤣
Bila ya kukurudisha huo uhusiano uliolegalega zile Trilioni 1.3 tungezisikia kwenye bomba.....
Dunia ina korona kwenda kulia sisi tulikuwa tunaelekea KUSHOTO....
Unajua unachokisema au umepokea maelekezo,Suala la Katiba mpya si la wizi Wala la dhulma....
Katiba mpya haiwezi kupatikana kwa shinikizo la kundi moja tu...tena chama kimoja tu....
Huna ushahidi wa wizi wa kura zaidi ya kuwachafua wengine kwa ile "FILAMU" iliyosukwa vyema na wapinzani.....
Brazaj hauko Marekani ,Sweden wala Norway.....
Uko Afrika.....
Waafrika tuna demokrasia yetu.....
Utopolo mtupuMuslimu 500,Hijab then Zanzibar nothing else.
Kidogo kidogo anatambulika duniani.....
Ninamtabiria makubwa kuwa ndiye atakayekuwa RAIS bora kabisa mwanamke kuwahi kutokea duniani......
SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin🙏
Demokrasia ni moja na misingi yake inafanana duniani kote. Hiyo demokrasia ya kwenu Africa labda mliitoa kuzimu.
Kajidanganya.........Nani kakudanganya kwamba demokrasia inafanana dunia nzima.
Kwani demokrasia isiyo ya KIAFRIKA imetoka mbinguni?!!!Demokrasia ni moja na misingi yake inafanana duniani kote. Hiyo demokrasia ya kwenu Africa labda mliitoa kuzimu.
Waeshazoea kuwa hawa ni watoto wangu lazima wale na kuvaa na kusoma vizuri. Hawa wengine hawa naishi nao tu vyovyote itakavyokuwa,bora liende.wale wasile shauri yao, wavae wasivae watajijua wenyewe,wasome wasisome shauri yao hawana haki yoyote na wakidai haki yao watapigwa,watavunjwa miguu pasipo huruma.Wawe wanawake wawe wanaume.Hapo ndipo tulipofika.Kwa kweli akiachana kuwaminya wapinzani ana nafasi kubwa sana ya kuwa juu.
Ukiacha kuminya wapinzani maana yake umeamua kuwa msikivu.Na ukiwa msikivu lazima ung'ae
Unajua wewe unachokisema.....Unajua unachokisema au umepokea maelekezo,
H
Huo uhusiano umekusaidiaje sasa na wakati haupo ulikosa nini? Vichwa vingine vinapenda kuongea Maneno ya kuokotaokota tu
Tunapewa na mliowaita makaburu sio.Leo hii kaburu kageuzwa ghafla,kawa bindamu wa heshima.Ama kweli duniani kuna mambo.Tunasaidiwa kila uchao....afya ,elimu.....
Kwa hiyo tunapopewa ARV dhidi ya Ukimwi na nduguzo na ndugu zangu wakizitumia huwa TUNAURUDISHA MSAADA HUO KUPITIA MATUNDU YA MIILI YA NDUGUZO NA NDUGU ZANGU?!!!
Haya mambo ambayo yana uelekeo wa dini hatustahili kuyashadadia.
Sijawahi kusikia the most influential christians.
Hao walipoitwa makaburu uliniona nami nikiwaita hivyo?!!!Tunapewa na mliowaita makaburu sio.Leo hii kaburu kageuzwa ghafla,kawa bindamu wa heshima.Ama kweli duniani kuna mambo.