15 kwa mwezi au ? kube walikuwa wanamlipa 2 million ila sie watanzania tunauana maskini sanaJasmine Razack ambaye ni Msimamizi wa Clement Mzize
"Niseme tu Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mchezaji, Al Masry wamekuja na ofa ila Yanga wamegoma wanataka dola Million moja kumwachia wakati Mayele tu aliondoka kwa dola 500,000 niseme tu Yanga wana roho mbaya na hawataki kumwachia wao wana hela hivyo wana kiburi, walikuwa wanamlipa Million mbili ila ndio mwaka huu wamemlipa Million 15 ila hawataki akachukue zaidi, naiomba Serikali watazame sana usimamizi wa mpira, wengi wanadidimiza na kuwaonea Wachezaji kisa hali duni"
Mpira ni biashara sio hurumaHilo liko wazi, sehemu yenye future nzuri kwa wachezaji wa ndani ni simba pekee. Yani yanga wapo radhi kuisaidia simba kuwalipa kiinua mgongo kikubwa wazee wastaafu wa simba kama kina shabalala, chama na mkude kuliko kuwainua vijana kwenye karia yao hususani kuwauza nje.
Hatari sana... Msomali ni zulmatiManager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine
Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele Kwa dollar 500k, kwanini wapate kigugumizi Kwa Mzizi
Amesema Mzize alikuwa akilipwa million 2 ila Kwa mkataba mpya analipwa milion 15 na kuwa Yanga wanamnyonya kijana
Amesema Yanga haina mchango wowote Kwa Mzize maana walikuwa washamfukuza under 20 na yeye Jasmine alishawishiwa na wazazi wake pamoja na coach Zahera kumsimamiaView attachment 3436631
Biashara ina market value pia. Kumnyima dogo fursa kisa husda, chuki na wivu bila kuzingatia market value ni roho mbaya. Mzize hana market value ya dola 1ml ndio mana wanaomuhitaji wakifanya assessment wanaa,ua kwenda kungine. Au mpaka mamlaka ziingilie kati kama kwenye ishu ya feitoto?Mpira ni biashara sio huruma
Mchezaji ndo bidhaa ya club
Timu ukija na offer ya million 1 wanayotaka Yanga watamuuza
Huu upuuzi unaweza kuwaambia Brentford waliobargain na Man U toka 45m hadi 70m?Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine
Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele Kwa dollar 500k, kwanini wapate kigugumizi Kwa Mzizi
Amesema Mzize alikuwa akilipwa million 2 ila Kwa mkataba mpya analipwa milion 15 na kuwa Yanga wanamnyonya kijana
Amesema Yanga haina mchango wowote Kwa Mzize maana walikuwa washamfukuza under 20 na yeye Jasmine alishawishiwa na wazazi wake pamoja na coach Zahera kumsimamiaView attachment 3436631
Wanaokula value ya mchezaji ni Yanga na ina haki ya kumuuza bei watakayotakaBiashara ina market value pia. Kumnyima dogo fursa kisa husda, chuki na wivu bila kuzingatia market value ni roho mbaya. Mzize hana market value ya dola 1ml ndio mana wanaomuhitaji wakifanya assessment wanaa,ua kwenda kungine. Au mpaka mamlaka ziingilie kati kama kwenye ishu ya feitoto?
Hujui habari za marketing katika soka. Kaa kimya.Wanaokula value ya mchezaji ni Yanga na ina haki ya kumuuza bei watakayotaka
Yanga wametengeneza Mzize Kwa gharama kubwa
Ni kweli mpira ni biashara.Mpira ni biashara sio huruma
Mchezaji ndo bidhaa ya club
Timu ukija na offer ya million 1 wanayotaka Yanga watamuuza
AtauzikaNi kweli mpira ni biashara.
Swali la kujiuliza ni kweli Mazize ana thamani ya dola 1m?
Kama ndiyo basi sokoni atauzika kwa hiyo pesa na Yanga watakuwa sahihi.
Ok, jambo zuri, ila asipouzika maoni yako yatakuwa ni yapi kuhusu inachosema management yake?Atauzika
Ana umri mdogo
Kuna timu ya Tunisia imeleta dollar 900k
Yanga wanaweza kuona ila sio kuuza Kwa pressure ya management ya mchezaji