Jasmine Razack: Yanga wana Roho mbaya, wamegoma kumuuza Mzize, wanataka dola Million moja

Jasmine Razack: Yanga wana Roho mbaya, wamegoma kumuuza Mzize, wanataka dola Million moja

Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine
Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele Kwa dollar 500k, kwanini wapate kigugumizi Kwa Mzizi

Amesema Mzize alikuwa akilipwa million 2 ila Kwa mkataba mpya analipwa milion 15 na kuwa Yanga wanamnyonya kijana

Amesema Yanga haina mchango wowote Kwa Mzize maana walikuwa washamfukuza under 20 na yeye Jasmine alishawishiwa na wazazi wake pamoja na coach Zahera kumsimamiaView attachment 3436631
Sisi watanzania tukipata umaarufu kidogo basi tunautumia vibaya. Huyu dada Jasmine anasifiwa lakini ni wale madalali kama madalali wengine wa kibongo. Anataka yeye afaidi na mchezaji ambaye hajawekeza chochote kwake ila Timu iliyompa jina isifaidike.

Kuna namna Serikali inabidi ifanye awe mameneja/mawakala wa wachezaji wasijiliwe na wapewe leseni ili kuepusha kausha damu kama hyu dada wanaotumia wachezaji kwa manufaa yao binafsi.

Amekuwa anaanzisha migogoro na waajiri wa wachezaji wake kwa kutegemea huruma ya Serikali. Wachezaji tafuteni mawakala wazuri siyo hawa madalali wanaoenda kuomba kupiga picha na wazungu ili waonekane wana connection kumbe wizi mtupu.
 
FROGS FC WANA roho mbaya sana MAMMBWA Hawa...Hawa jamaa kama ni kuwawekea sumu ningewawekea wafe wote uongozi wote na wote wanaosapoti kijana huyu kunyanyaswa hivi
 
Asipouzika basi
Kwani Yanga wametangaza wapi kama wanamuuza mchezaji wao
Asubiri atumikie mkataba alosain
Wachezaji wanapaswa kuwa makini sana na mikataba. Wahakikishe mkataba una kifungu cha kununua mkataba wake kwa fedha inayotekelezeka maana Club zikihitaji kuachana na mchezaji zinaachana naye bila tatizo ila mchezaji akitaka kuiacha Club mkataba unambana. Hapo ukute mkataba wa mzize unasema akitaka kuondoka bila kuuzwa alipe dola m2 na mwenyewe alisaini tu afu sa hii management inalia lia.
 
Hawawezi wakamuachia kirahisi hivyo yule ababa ana roho ya kimasikini mno anataka mafanikio yake tu wasomali changamoto sana hapa bongo wabinafsi mno
 
Wachezaji wanapaswa kuwa makini sana na mikataba. Wahakikishe mkataba una kifungu cha kununua mkataba wake kwa fedha inayotekelezeka maana Club zikihitaji kuachana na mchezaji zinaachana naye bila tatizo ila mchezaji akitaka kuiacha Club mkataba unambana. Hapo ukute mkataba wa mzize unasema akitaka kuondoka bila kuuzwa alipe dola m2 na mwenyewe alisaini tu afu sa hii management inalia lia.
Hakika kila mtu anufaike
 
Uwakala wa wachezaji ni maslahi ya mchezaji.

Siyo mauziano ya wachezaji baina ya timu.

Mmevamia fani kutafuta utajiri wa haraka.
Jiangalie. Wakala anaweza kupush mchezaji wake auzwe sehemu yenye maslahi zaidi kwao, nina uhakika ndicho wakala wa mzize anachofanya. Yanga wanachofanya ni kuzuia fursa ya mzize kwa kutumia luphole ya bei ya juu kinyume na thamani halisi ya mchezaji, Hapo ndipo roho mbaya ya msomali ilipolalalia. Mboan mshkaji ki azizi kamuuza bei chee tu widadi na alikuwa muhimu kwa timu.
 
Back
Top Bottom