Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

Maisha ya upweke kivipi ww 😂 wanawake wako very smart. Mwanamke hana confidence ya kuacha mtu kama hajapata pa kuji banza haswa hawa wamatumbi wenzetu. Ukiona demu anakuacha kwa mbwembwe jua kashapata pa kujishikiza.
Mkuu unachosema ni kweli na nimegundua Wanawake sasa hivi wanakuwa na backup kabisa. Akiona huku hakueleweki anahamia kule na bado ataendelea kutafuta backup nyingine tena.
 
[emoji23][emoji23]
 
Kuvunjika kwa uhusiano wa mapenzi (breakups) huumiza zaidi kuliko aina nyingine za kuachana kwa sababu mapenzi hufungamana na sehemu kuu za ubongo.
 
Jamani ndio unakuja kumwambia leo
Nifah siwajui hata ila kiukweli wewe ndio ulimpenda sana jasusi,yeye hakuwa kivile inaonyesha hivyoo . Wahenga walisema usipende sana usije pata ugonjwa wa moyo. Bora awe mwanaum sio ke. Huyu anawake alikuwa anakutumiazź tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yeah it's a digital life jirani.....nakuja pm kukupa number chap kwa haraka
Usichelewe maana nina mpango wa kubadili laini hadi February maana najua kuanzia kesho simu ni nyingi huyu anataka,kodi yule ada huyu uniform za wajomba, Vingamuzi vimeisha bando,

Maji + umeme,nitakuwa nashinda jf tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahii kabisa
 
Kuna mdau mmoja jana nimesoma comment yake ametoroka akidai " hayo mbona tulishajua toka zamani kuwa wanashare nywila" nikasema umbea nao unafanya mtu uanze kupunguza utendaji kazi mzuri hayanihusu


Pole kwake mdada jitulize ,tuliza akili move on , hayajaanza leo haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…