Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa


Kwani Nifah kaliwa na nani?
 
Piga spana humu Kuna id hatuna majina, lakini tunadharauriwa kumbe tuna vyeo uku nje
 
This is too low Robert!unamengi yakuandika kuliko kushadadia Kuachana Kwa wapendanao,halafu unajifanya watibeli tunapreach love ndio love Gani hii?halafu kuna kijamaa kingine nacho nimeona kimefurahia sana hii habari acheni mambo yenu bhanaa
Ana wajua watalaka😀😂😂, kayumba kweli😀
 
Labda ali kuwa ana taka achukue nafasi yey😀😂🤣
 
Mtibeli hapa umekosea. Hukupaswa kuzungumia mahusiano ya watu namna hii.
Na unanonekana upo upande wa huyo jasusi ili iweje sasa? Nia yako Nifa apigwe mawe hapa..
Umefeli big time kuingilia yasiyo kuhusu.
Habari kama hii sio level zako kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…