Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

Wewe unaakili sana utafika mbali
 
Pole sana Mkuu
 
Duh[emoji2960]
 
Na wewe ni Jasusi?. Taarifa personal kama hizi umezipataje?[emoji3]
 
Ukikutwa adhabu yake ilikuwa nini?
 
This is too low Robert!unamengi yakuandika kuliko kushadadia Kuachana Kwa wapendanao,halafu unajifanya watibeli tunapreach love ndio love Gani hii?halafu kuna kijamaa kingine nacho nimeona kimefurahia sana hii habari acheni mambo yenu bhanaa
Mkuu naona umechafukwa, nikawaida watu wakiachana marafiki kutia maneno. Kitu ambacho nifah hajui, mwanaume halazimishwi Ndoa. Ukinilazimisha unanikimbiza, mwanaume akikupenda na akaona unafaa kuwa mke wake basi ndoa anaiomba mwenyewe.
 
Achaneni na huu uzushi basi, sijawahi kulazimisha ndoa, katu!

Kwamba nilitaka ndoa ndipo tukaachana? Nonsense.
Sababu zilizotufanya tuachane ni nyingi na hii sio moja wapo.
Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…