Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

Hawa jamaa wanapatwa na makosa ndio maana huwa hawachomoki
 
Mwanamke hana kibakio, yeye ana kibakiwo hivyo kamwe mwanamke habaki labda wawe 7 kwa mwanamme mmoja au awe anakuzidi umri mara 3 zaidi.
Nje ya hapo mwanamke hawez kumbaka mwanaume itabid upimwe akili ndugu mbakwaji.
Hata akina Rihanna na Beyonce wamebakwa na Jay Z kwa sheria za Marekani.

Maana RiRi alianza kufanya kazi na Jay Z akiwa under 18 na ninaamini Carter alipita naye.

Beyonce ameingia kwenye uhusiano na Jay Z akiwa under
18
 
Sio Marekani tu nchi nyingi iko hivyo, kesi inaisha tu pake ukifa.

Kama uliwahi kufanya misala na kama bado uko hai uchunguzi ukakubaini lazima utimbe mahakamani
 
Kushuhudia maovu yakifanyika mbele yao na kushindwa kutoa taarifa sehemu husika au wanaweza kuwa accused kwamba ndiyo walikuwa wanawapelekea mabwana zao hao watoto.
Sawa kama JLo inasemekana ndiye aliyekuwa anawaangalia Sean na Carter wakimbaka huyu mwanamke

Huyu JLo atakuwa ameshuhudia mengi nahisi hata Aaliyaah wakati hawa akina R.Kelly na Diddy wakimtumia akiwa bado kinda alishuhudia maana kwenye white party nyingi za Diddy alikuwepo

Kuna picha niliiona ya white party, Aaliyaah jicho nyanya inaonekana walikuwa wamemlisha madawa tayari kufanya yao pembeni kuna Diddy na Jay Z na Jlo naye alikuwepo

Angekuwa hai Aaliyaah mengi tungeyasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…