Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

Hapana sio huko tu marekani. Huku kwetu ndio sana. Kungekuwa na democracy ya kweli wengi sana hata wakubwa wangeishia ngome. Kuna uwezekano mkubwa hata wewe umewahi kupita na ka-under17. Lakini ksbb kinaonekana kitu cha kawaida kwa huku.

Jambo la pili kuna kitu kinakuwa nyuma ya hawa masuperstar marekani ili kuwatawanya waje wapya. Pia kuna swala la hao wanaotengeneza kesi kutaka kujipatia utajiri kupitia hawa. Mambo ni mengi.
Hawa jamaa wanapatwa na makosa ndio maana huwa hawachomoki
 
Mwanamke hana kibakio, yeye ana kibakiwo hivyo kamwe mwanamke habaki labda wawe 7 kwa mwanamme mmoja au awe anakuzidi umri mara 3 zaidi.
Nje ya hapo mwanamke hawez kumbaka mwanaume itabid upimwe akili ndugu mbakwaji.
Hata akina Rihanna na Beyonce wamebakwa na Jay Z kwa sheria za Marekani.

Maana RiRi alianza kufanya kazi na Jay Z akiwa under 18 na ninaamini Carter alipita naye.

Beyonce ameingia kwenye uhusiano na Jay Z akiwa under
18
 
Marekani bana, mtu kafanya kosa mwaka 2000, wanakuja kufanya kesi 2024. Hawajui ya kuwa hao kwa sasa ni watu wawili tofauti. Yule wa 2000 anatofautiana sana na wa sasa kiakili, kihisia, kimtazamo, kimuonekani, nguvu, uthubutu nk. Binafsi wangenishtaki kwa makosa ya miaka 20+ iliyopita, naweza kusema sikumbuki kitu. Hata wakitoa ushahidi vipi, nasema I don't have any idea. Nadhani kesi itaishia hapo.
Sio Marekani tu nchi nyingi iko hivyo, kesi inaisha tu pake ukifa.

Kama uliwahi kufanya misala na kama bado uko hai uchunguzi ukakubaini lazima utimbe mahakamani
 
Kushuhudia maovu yakifanyika mbele yao na kushindwa kutoa taarifa sehemu husika au wanaweza kuwa accused kwamba ndiyo walikuwa wanawapelekea mabwana zao hao watoto.
Sawa kama JLo inasemekana ndiye aliyekuwa anawaangalia Sean na Carter wakimbaka huyu mwanamke

Huyu JLo atakuwa ameshuhudia mengi nahisi hata Aaliyaah wakati hawa akina R.Kelly na Diddy wakimtumia akiwa bado kinda alishuhudia maana kwenye white party nyingi za Diddy alikuwepo

Kuna picha niliiona ya white party, Aaliyaah jicho nyanya inaonekana walikuwa wamemlisha madawa tayari kufanya yao pembeni kuna Diddy na Jay Z na Jlo naye alikuwepo

Angekuwa hai Aaliyaah mengi tungeyasikia
 
Back
Top Bottom