Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

nahisi Kuna agenda ya Siri kuhusu hawa musician ambao ni black American
Punguza mahaba, kamuulize JIDE na VANESSA MDEE kuhusu muziki wa bongo nyuma ya pazia.

Kwa wanaume sisemi coz ni fitina ,majungu na chuki so kama mwanaume lazima upambane nazo.

Watoto wa kike wanateseka sana nyuma ya pazia kwenye sekta zote za sanaa huku muziki na filamu zikiongoza!
 
Kuna yule marehemu walimpa jina la jasiri muongoza njia, nyuma ya pazia kamuulize JIDE, usione mtu mpaka anakataa kusamehe maiti!
Ila jaydee mtata Sana ukiwa na binti anyejitambua km huyo unafarijika

Watanzania wakishashiba wanawaza kutiana tu🤣🤣 ndio kina ruge hao

Nchi ambazo ukimwi utachelewa kuisha Tanzania top 3ipo🤣
 
Kuna yule marehemu walimpa jina la jasiri muongoza njia, nyuma ya pazia kamuulize JIDE, usione mtu mpaka anakataa kusamehe maiti!
Kwa hiyo tumuamini huyo Jide hisia zake eti kisa alikataa kusamehe mpaka maiti? Na Kwanini hakusema hayo yaliyokuwa nyuma ya pazia Tena na uthibitisho kabisa?
 
Binnti machozi alifanyiwa kitu gani na jasiri Mwongoza Njia? Au mnataka kuzusha jambo?
Utawaweza wanawake kwa kupeana support hasa pale mwenzake anapokuwa negative feelings dhidi ya mwanaume Fulani, najua hapo hajui chochote Zaid ya ushabiki
 
Sahih. Ila masuala ya kubakana huwa yanaidhinishwa na mahusiano mabaya baada ya tukio.
Mambo yakienda vizuri kila mmoja ajanufaika bila malalamiko wakafunika kombe unyama unakuaga mwingi sana kama sex zingine.
Mara nyingi hizi tuhuma za sexual harassment huwa ni regrettable sex

Yaani ni sex ambayo hapo awali ilikuwa ni consensual, ila baada ya miaka kadhaa kupita halafu mmoja wenu akawa haeleweki maisha yake hasa mwanamke ndio anakuja kuibuka na tuhuma kama hizi, akiwa anategemea labda anaweza kunufaika kinamna Fulani au muda mwingine unakuta anatumiwa na maadui zako huku wakimuahidi donge nono, na mbaya Zaid hawaigopi kufanganya maana hata ikija kubainika si kweli hakuna hatua yoyote anayochukuliwa
 
Inahitajika umakini mkubwa sana Broke women si wa kufuck kabisa hata kwa njaa ya miaka 100.
 
Punguza ushamba,ukweli ni kwamba nyuma ya pazia music industry ya bongo ina uchafu mwingi.

Kama bado unaona ni hisia utakuwa bado mrugamruga,mshamba na wakuja coz wakongwe waliozaliwa na kukulia DSM wanazo full code kuhusu kinachoendelea kwenye music na filamu.
Mshamba mwenyewe nguchiro wewe, kwa hiyo kukulia hapo kwenu Mburahati basi ndio unajiona wewe mjanja na ni Bora sana kuliko sisi wa mikoani? Ndio maana huwa nasemaga nyie watu mlioozaliwa na kukulia dar akili zenu zina udumavu sababu mmekuzwa na miguu ya kuku pamoja na mayai ya kisasa

Nimekwambia tuambie hayo yaliyokuwa yakiendelea nyuma ya pazia kuhusu marehemu Luge na uthibitisho usiokuwa na shaka, na sio story tu ambazo mnapeana kwenye vijiwe vyenu vya umbea huko Sinza na magomeni

Wewe ni mshambenga tu kama washambenga wengine, leta solid evidence kuhusu hizo tuhuma za marehemu Luge alizowahi kukwambia lady jay dee
 
Inahitajika umakini mkubwa sana Broke women si wa kufuck kabisa hata kwa njaa ya miaka 100.
Diddy kwenye maisha yake ametembea na wanawake wengi sana wengine ni mastar wakubwa tu kama akina JLO, ila angalia watu walioibuka kumshtaki ukimtoa Cassie wengine wote ni unknown entities tu yaani hawaeleweki na ni ma opportunists tu

Sema Mimi namlaumu Diddy hili suala lisingefika huku

Aliharibu sana pale alipotaka kumlipa Cassie hili afunge mdomo ndio haya magold diggers ambayo aliwahi kuyatombaa siku za nyuma yakaona fursa hii, acha yajitokeze kwa wingi
 
halali 2pac auawe, yeye alikuwa ugovi na bangi na serikali pia
Pia hongera kwa FBI snop dogg kwa kuamua kuoa akiwa bado dogo
Siku Snoop akiandamwa, hapo ndio tutaona kuwa black super stars wanaandamwa kwa kutumia kesi za ngono mana Snoop alioa akiwa kijana na mpaka sasa anaishi na mke wake.

Hebu tujiulize kwa kirejea humu bongo, hivi maisha ya wanamuziki si yanaambatana na mambo ya anasa na uasherati unaokuja automaticale au?

Hivi ikitokea superstar black akawa anatafuta pesa na akajiepusha na mambo ya anasa za unyanyasaji wa kingono anaweza kuja kubambikwa kesi?
 
Back
Top Bottom