enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,838
- 7,346
Punguza mahaba, kamuulize JIDE na VANESSA MDEE kuhusu muziki wa bongo nyuma ya pazia.nahisi Kuna agenda ya Siri kuhusu hawa musician ambao ni black American
Kwa wanaume sisemi coz ni fitina ,majungu na chuki so kama mwanaume lazima upambane nazo.
Watoto wa kike wanateseka sana nyuma ya pazia kwenye sekta zote za sanaa huku muziki na filamu zikiongoza!