Hata mimi nimemshangaaHivi ndio vitu vinavyowagharimu wapinzani, halafu ukute unakabidhiwa watu uwaongoze... Haiwezekani!!!! Udini hauna nafasi Tanzania
Ni lugha ipo inayo chochea uvunjifu wa amani, mtu akikuambia kuwa Safari hii mkiiba kura hapatatosha kwako hiyo Ni lugha ya kichochezi kweli ? Mbona anapo sema kuwa Kama atashindwa kiuhalali atakubali matokeo mbona kwa Hilo hamliungi mkono ?.IGP anafanya kazi yake, anakemea lugha zinazochochea uvunjifu wa amani
Sasa kama mtu hajajiandaa kushinda ila anaanza kuhamasisha watu kuingia barabarani ndio nini
Mbona jiwe kila siku anakesha kwenye madhabahu za kidini Tena mbaya kabisa anazitumia kwa kutola rushwa.Hivi ndio vitu vinavyowagharimu wapinzani, halafu ukute unakabidhiwa watu uwaongoze... Haiwezekani!!!! Udini hauna nafasi Tanzania
Hivi huyo mwenye kutaka kuingiza watu Barabara kawafanya wa Tz mabwege, eti waingie barabarani kisa yeye kakosa fursa au nafasi ya UrahisiNinachoona ni kuwa wanajiandaa kwa matukio baada ya matokeo kutoka kufuatia kauli ya Lissu kuwa akishindwa kwa kuonewa anaingiza watu barabarani.
Swali ni je wanajua matokeo yatakuaje?
Swali ni atasibitisha vipi kama ameshindwa kuhalali wakati hamuamini tume, wala polisi wala chombo chochote cha serikali ?Ni lugha ipo inayo chochea uvunjifu wa amani, mtu akikuambia kuwa Safari hii mkiiba kura hapatatosha kwako hiyo Ni lugha ya kichochezi kweli ? Mbona anapo sema kuwa Kama atashindwa kiuhalali atakubali matokeo mbona kwa Hilo hamliungi mkono ?.
Mupunguze , munataka , munajua!!Kila mtu anayefanya kazi yake.. munataka awataje hao viongozi wasio na sifa.. kama vile IGP ni wa Chadema.. kama vile Lissu ni mfalme.. huku ni mwananchi tu sasa na baada ya uchaguzi..
Mupunguze.. kutunga tunga kisa.. munajuwa hana sera za kuvutia.. watanzania hatupo munafikiri.. Magufuli katuimarisha na fikra awamu hii..
Mupunguze , munataka , munajua!!
We ni mrundi au mcongo?
keshasema na kutangazia uma kwamba hana imani na Tume ya uchaguzi, maana yake tayari anajiandaa kwa shari maana anajua hatashinda.Ni lugha ipo inayo chochea uvunjifu wa amani, mtu akikuambia kuwa Safari hii mkiiba kura hapatatosha kwako hiyo Ni lugha ya kichochezi kweli ? Mbona anapo sema kuwa Kama atashindwa kiuhalali atakubali matokeo mbona kwa Hilo hamliungi mkono ?.
Hawakujiandaa na hali hi Nguvu ya losusiyo yaKawaidaUmma umeamua uhuru na kazi ni yeyey2020Ninachoona ni kuwa wanajiandaa kwa matukio baada ya matokeo kutoka kufuatia kauli ya Lissu kuwa akishindwa kwa kuonewa anaingiza watu barabarani.
Swali ni je wanajua matokeo yatakuaje?
Kushinda madhabahuni ndio tabia yake na mapenzi yake kwa mwenyezi Mungu. Tena tumshukuru sana anaiongoza nchi kwa kumtegemea MunguMbona jiwe kila siku anakesha kwenye madhabahu za kidini Tena mbaya kabisa anazitumia kwa kutola rushwa.
Vipi mama Daudi ebu kuwa mpole.
Ndio atumie mimbari kwa kutoa rushwa, naelewa kuwa hata shetani anayambua kuwa Mungu yupo na anatetrmeka anapo kusikia Hilo jina. Mama Daniel wewe VP mbona hivyo.Kushinda madhabahuni ndio tabia yake na mapenzi yake kwa mwenyezi Mungu. Tena tumshukuru sana anaiongoza nchi kwa kumtegemea Mungu