Je, Afande Sirro ana chuki binafsi na Tundu Lissu? Kwanini atoe kauli kama hizi dhidi yake?

Sirro kumbuka hauko mbali na kustaafu ni vyema ukaandaa vyema maisha yako yasije yakawa ya dhiki na fedheha! Hujui yajayo! usije ukamalizia maisha yako mahakamani na mahabusu kama ambavyo unawaona wengine yakiwakuta.
 
IGP anafanya kazi yake, anakemea lugha zinazochochea uvunjifu wa amani
Sasa kama mtu hajajiandaa kushinda ila anaanza kuhamasisha watu kuingia barabarani ndio nini
CCM wanavamia mikutano ya CHADEMA, kimyaaa.
Ccm wanaandamana na kupigana wenyewe kwa wenyewe, kimyaaa.
Yaani kwa IGP CCM wao ni malaika.
 
Katika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.

Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CDM, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CDM.

IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."

Afe yeye kwanza
 
IGP anafanya kazi yake, anakemea lugha zinazochochea uvunjifu wa amani
Sasa kama mtu hajajiandaa kushinda ila anaanza kuhamasisha watu kuingia barabarani ndio nini

Amesema kama atashinda halafu tume ikatae kumtangaza kama alivyoiagiza Rais kuwa atashangaa mkurugenzi amemteua yeye halafu atangaze kuwa mpinzani ameshinda. Sasa Lissu anasema kama akishinda halafu Mkurugenzi akatae kumtangaza kuna kosa gani kutumia nguvu ya umma
 
Ni lugha ipo inayo chochea uvunjifu wa amani, mtu akikuambia kuwa Safari hii mkiiba kura hapatatosha kwako hiyo Ni lugha ya kichochezi kweli ? Mbona anapo sema kuwa Kama atashindwa kiuhalali atakubali matokeo mbona kwa Hilo hamliungi mkono ?.
Hapatatosha kwa kipimo gani huo ni uhalifu safari hii fuateni sheria na sheria mmezikubali kwa kusaini, kinyume na hapo mjeredi wa kisheria unawahusu.
 
Katika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.

Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CDM, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CDM.

IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."

Ni Lisu pekee kwa wagombea wote avayetoa matamko ya hatari
Ni Lisu pekee anayehutubia mikutano ya kutafuta wadhamini!
Sasa Kama anasema yeye hatamsubiri Mungu aliibiwa kura, ana uhakika gani na wapiga kura kuwa wote wapo upande wake na kampeni bado!
 
Hivi huyu Sirro yy peke yake ndio kaongezewa mshahara kwa miaka 5 ya Magufuli?

Mbona wenzake wote wanalalamika?
 
Katika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.

Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CDM, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CDM.

IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."

Anatetea ugali wake tumsamehe tuu
 
Katika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.

Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CHADEMA.

IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."

Bado hatujasahau watu wasiojulikana ambao hawatakiwi wajulikane, maana bado hawajulikani
 
Hivi huyo mwenye kutaka kuingiza watu Barabara kawafanya wa Tz mabwege, eti waingie barabarani kisa yeye kakosa fursa au nafasi ya Urahisi
Mali wajinga?hata hapa panachimbika jiandae
 
Katika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.

Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CHADEMA.

IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."

Mtu wa kwanza kutimuliwa kazi mwezi wa 11 ni Sirro
 
Hivi ndio vitu vinavyowagharimu wapinzani, halafu ukute unakabidhiwa watu uwaongoze... Haiwezekani!!!! Udini hauna nafasi Tanzania

Kumbe nape ni mpizani?

Kibajaji ni mpizani

Msiba mpinzani

Nitapiga shangazi zake kwanza naye mpinzani?

Tumia akili kidogo unapojadili mada yoyote. Mnafanya watanzania tunaonekana wenye akili fupi na hatujielewi.
 
Katika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.

Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CHADEMA.

IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."

Huyu Hana weredi wowote,anaendeshwa na jazba,
 
Ni lugha ipo inayo chochea uvunjifu wa amani, mtu akikuambia kuwa Safari hii mkiiba kura hapatatosha kwako hiyo Ni lugha ya kichochezi kweli ? Mbona anapo sema kuwa Kama atashindwa kiuhalali atakubali matokeo mbona kwa Hilo hamliungi mkono ?.
Achana na hao lumumba mwaka huu ni zamu yetu.hawajazoe kipigo kutoka upinzani
 
Akistaafu 2025 anakwenda kugombea CCM. Sasa hivi kadi yake iko sandukuni kama alivyokuwa Jecha, Tibaigana, Augustino Ramadhani, na wengine. Wanatufanya Watanzania wajinga.
 
Back
Top Bottom