Je, Afande Sirro ana chuki binafsi na Tundu Lissu? Kwanini atoe kauli kama hizi dhidi yake?

Je, Afande Sirro ana chuki binafsi na Tundu Lissu? Kwanini atoe kauli kama hizi dhidi yake?

IGP Sirro ameshaonyesha rangi yake halisi ni muhimu CHADEMA kuwaandaa wafuasi wao kukabiliana na ccm na vijana wa Sirro.
IGP dawa yake ni The Hague pekee
 
IGP anafanya kazi yake, anakemea lugha zinazochochea uvunjifu wa amani
Sasa kama mtu hajajiandaa kushinda ila anaanza kuhamasisha watu kuingia barabarani ndio nini
Huwezi kupambana na uhalifu kwa kufanya uhalifu
 
Mali wajinga?hata hapa panachimbika jiandae
Kunatofauti kubwa sana ya mambo ya Mali na Bongo kuhusu utawala, uonevu na opportunities, ndio maana nakwambia utakuwa Bwege kuingia mtaani kisa Kichaa fulani kakosa whisky au kufuata unayosikia ya Mali bila kujiridhisha
 
..IGP ndiye anayetishia kuvunja amani.

..maana ametumia neno KUFA mara kibao katika hotuba yake.

..pia ilikuwa hotuba ya kushambulia watu na vyama, na hili linabomoa heshima ya jeshi la polisi.
 
Back
Top Bottom