G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Kweni siyo wahalifu?hv unajua kuna baadhi ya nchi ukienda nchi nyingine na kuisema serikali yako vibaya ukirudi wanakufanya nini? Hujui kuna nchi ukibadirisha wimbo wa taifa wanakufanya nini? Tambueni tu ya kwamba Tanzania kuna amani na watu wake (viongozi) hawana shida na mtu isipokua kuna watu wanalazimisha kwa faida zaoSirro pamoja na Jeshi la Polisi wanaona Wapinzani haswa CHADEMA Kama wahalifu, Haikushangaza pale aliposema Tundu Lissu akirudi tu watamkamata