Je, Afande Sirro ana chuki binafsi na Tundu Lissu? Kwanini atoe kauli kama hizi dhidi yake?

Je, Afande Sirro ana chuki binafsi na Tundu Lissu? Kwanini atoe kauli kama hizi dhidi yake?

Kiukweli yako mambo yanasababishwa na vyombo vingine Ila lawama kwa polis.kwa mfano ujinga uliofanywa na mkurugenzi wa ubungo haukubaliki, anatoa fomu kwa wagombea feki..
Yule mama hakutoa form kokote bali katengeneza story ya uongo akiamini chadema watadai form kwa nguvu wapate kisingizio cha kuwabambikia kesi
 
Sirro kumbuka hauko mbali na kustaafu ni vyema ukaandaa vyema maisha yako yasije yakawa ya dhiki na fedheha! Hujui yajayo! usije ukamalizia maisha yako mahakamani na mahabusu kama ambavyo unawaona wengine yakiwakuta.
Tayari mahakama ya uhalifu ya kumataifa wameipata video yake wanafanyia kazi wakijiandaa na kesi kwa matukio yatayofuata
 
Ninachoona ni kuwa wanajiandaa kwa matukio baada ya matokeo kutoka kufuatia kauli ya Lissu kuwa akishindwa kwa kuonewa anaingiza watu barabarani.

Swali ni je wanajua matokeo yatakuaje?
Nani ataingia barabarani? Njoo na wewe uingie barabarani mbona umekaa tu huko UK?
 
This guy is very unfortunate to be IGP in this term Government. He knows it, however what can he do??!-- he is protecting his position so he has to please "the king".
Whether you like or not; still he is IGP of this country!! And nothing you can do
 
Lini amehamasisha watu kuingia
barabarani?..Je alipowahamasisha
walingia kweli barabarani au walikataa?
 
Sipati picha ulifanyaje mtihani wako wa darasa la 7
IGP anafanya kazi yake, anakemea lugha zinazochochea uvunjifu wa amani
Sasa kama mtu hajajiandaa kushinda ila anaanza kuhamasisha watu kuingia barabarani ndio nini
 
Siri nikwambi kitu usitishe wananchi Wala chama chochote kile ,wewe na anayekutuma Ni waajiriwa wananchi ,wananchi wakitaka kulinda kura kura ,kuandamana waache wait ndi wenye nchi wewe na anayekutuma Ni waajiriwa ufuate wananchi wanachotaka au hujui katiba Soma hapa
IMG_20200802_165717_7.jpg
 
naiombea amani ya Tanzania, nawaombea amani woteee ili yote yaishe salama
 
Back
Top Bottom