Zile Lugha za Musiba mbona hajawai kuzikemea?IGP anafanya kazi yake, anakemea lugha zinazochochea uvunjifu wa amani
Sasa kama mtu hajajiandaa kushinda ila anaanza kuhamasisha watu kuingia barabarani ndio nini
CCM wanavamia mikutano ya CHADEMA, kimyaaa.IGP anafanya kazi yake, anakemea lugha zinazochochea uvunjifu wa amani
Sasa kama mtu hajajiandaa kushinda ila anaanza kuhamasisha watu kuingia barabarani ndio nini
Afe yeye kwanzaKatika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.
Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CDM, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CDM.
IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."
Una nafasi ccmHivi ndio vitu vinavyowagharimu wapinzani, halafu ukute unakabidhiwa watu uwaongoze... Haiwezekani!!!! Udini hauna nafasi Tanzania
IGP anafanya kazi yake, anakemea lugha zinazochochea uvunjifu wa amani
Sasa kama mtu hajajiandaa kushinda ila anaanza kuhamasisha watu kuingia barabarani ndio nini
Hapatatosha kwa kipimo gani huo ni uhalifu safari hii fuateni sheria na sheria mmezikubali kwa kusaini, kinyume na hapo mjeredi wa kisheria unawahusu.Ni lugha ipo inayo chochea uvunjifu wa amani, mtu akikuambia kuwa Safari hii mkiiba kura hapatatosha kwako hiyo Ni lugha ya kichochezi kweli ? Mbona anapo sema kuwa Kama atashindwa kiuhalali atakubali matokeo mbona kwa Hilo hamliungi mkono ?.
Ni Lisu pekee kwa wagombea wote avayetoa matamko ya hatariKatika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.
Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CDM, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CDM.
IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."
Anatetea ugali wake tumsamehe tuuKatika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.
Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CDM, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CDM.
IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."
Bado hatujasahau watu wasiojulikana ambao hawatakiwi wajulikane, maana bado hawajulikaniKatika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.
Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CHADEMA.
IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."
Mali wajinga?hata hapa panachimbika jiandaeHivi huyo mwenye kutaka kuingiza watu Barabara kawafanya wa Tz mabwege, eti waingie barabarani kisa yeye kakosa fursa au nafasi ya Urahisi
Mtu wa kwanza kutimuliwa kazi mwezi wa 11 ni SirroKatika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.
Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CHADEMA.
IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."
Hivi ndio vitu vinavyowagharimu wapinzani, halafu ukute unakabidhiwa watu uwaongoze... Haiwezekani!!!! Udini hauna nafasi Tanzania
Huyu Hana weredi wowote,anaendeshwa na jazba,Katika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.
Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CHADEMA.
IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."
Za kwako mwenye udini ndio portionAkili portion
Achana na hao lumumba mwaka huu ni zamu yetu.hawajazoe kipigo kutoka upinzaniNi lugha ipo inayo chochea uvunjifu wa amani, mtu akikuambia kuwa Safari hii mkiiba kura hapatatosha kwako hiyo Ni lugha ya kichochezi kweli ? Mbona anapo sema kuwa Kama atashindwa kiuhalali atakubali matokeo mbona kwa Hilo hamliungi mkono ?.