Kweni siyo wahalifu?hv unajua kuna baadhi ya nchi ukienda nchi nyingine na kuisema serikali yako vibaya ukirudi wanakufanya nini? Hujui kuna nchi ukibadirisha wimbo wa taifa wanakufanya nini? Tambueni tu ya kwamba Tanzania kuna amani na watu wake (viongozi) hawana shida na mtu isipokua kuna watu wanalazimisha kwa faida zaoSirro pamoja na Jeshi la Polisi wanaona Wapinzani haswa CHADEMA Kama wahalifu, Haikushangaza pale aliposema Tundu Lissu akirudi tu watamkamata
Whether you like or not; still he is IGP of this country!! And nothing you can do, you ass!
MKuu huu ni utetezi dhaifu sana juu ya matendo yake.
Have I condemned his capacity of IGP??-- read between linesWhether you like or not; still he is IGP of this country!! And nothing you can do
Wanapoongea akina Musiba, Nape na wengine wa CCM huyo IGP wako anakuwa amwbanwa na mavi nn. Kwann anashindwa kuwakemea au kukemea. This time lazima watatema vyeo na watashtakiwa kwa kutumia vyeo vyao vibaya. Bora tufe wachache kwa ajili ya wengine. Na ni bora kufa kwa kuwatetea wenzako. Ndivyo tutakavyofanya this time hakuna kumbembelezana wakirusha tunarusha, wakipiga tunapiga. Subiri ngoma ianze hapo 26/8 mmetunyanyasa vya kutosa SASA BASIIIIGP anafanya kazi yake, anakemea lugha zinazochochea uvunjifu wa amani
Sasa kama mtu hajajiandaa kushinda ila anaanza kuhamasisha watu kuingia barabarani ndio nini
Analinda ulaji wake bila kujali yanayotokea Mali na Beralus!Katika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.
Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CHADEMA.
IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."
Wanajihami. Wamejiandaa kuiba kura. Kwa nini wawe wakali hivyo kwa mtu anayewaonya wasiibe kura?Ni lugha ipo inayo chochea uvunjifu wa amani, mtu akikuambia kuwa Safari hii mkiiba kura hapatatosha kwako hiyo Ni lugha ya kichochezi kweli ? Mbona anapo sema kuwa Kama atashindwa kiuhalali atakubali matokeo mbona kwa Hilo hamliungi mkono ?.
Ukipewa mtihani wa insha, Nina uhakika hutatoboa. Bora kukaa kimya kuliko kuhalalisha ambacho hukukielewa vizuri.IGP anafanya kazi yake, anakemea lugha zinazochochea uvunjifu wa amani
Sasa kama mtu hajajiandaa kushinda ila anaanza kuhamasisha watu kuingia barabarani ndio nini
Azori Gwanda na Sanane wako wapi?Kushinda madhabahuni ndio tabia yake na mapenzi yake kwa mwenyezi Mungu. Tena tumshukuru sana anaiongoza nchi kwa kumtegemea Mungu
IGP Sirro ameshaonyesha rangi yake halisi ni muhimu CHADEMA kuwaandaa wafuasi wao kukabiliana na ccm na vijana wa Sirro.Katika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.
Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CHADEMA.
IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."
Sirro haoni kauli za Nape, Heri James na vijana wengine wa green guard?IGP anafanya kazi yake, anakemea lugha zinazochochea uvunjifu wa amani
Sasa kama mtu hajajiandaa kushinda ila anaanza kuhamasisha watu kuingia barabarani ndio nini
Hivi kinachowashinda ccm kufanya uchaguzi huru na haki ni nini? Rejea chaguzi za znzIGP anafanya kazi yake, anakemea lugha zinazochochea uvunjifu wa amani
Sasa kama mtu hajajiandaa kushinda ila anaanza kuhamasisha watu kuingia barabarani ndio nini
Damu ya Lissu inamlilia, hawezi kamwe kupata amani katika maisha yake mpaka kufa kwake...he wishes Lissu asingekuwepo hai maana Ingekuwa ni rahisi Kwao kuficha dhambi waliyoitenda...now Lissu is alive and telling the story, black and white!Katika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.
Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CHADEMA.
IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."
Unadhani wote tunafikiri. Wengine wanawaza.Ni lugha ipo inayo chochea uvunjifu wa amani, mtu akikuambia kuwa Safari hii mkiiba kura hapatatosha kwako hiyo Ni lugha ya kichochezi kweli ? Mbona anapo sema kuwa Kama atashindwa kiuhalali atakubali matokeo mbona kwa Hilo hamliungi mkono ?.
ajuwe wanao teseka kwa utawala mbovu wa ccm sio viongozi wa vyama ni wananchi wa kawaida. yeye haona hao ccm wanao sema watapinga watu mabuti ?Katika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA.
Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze IGP Sirro kutokuishambulia CHADEMA.
IGP alitoa kauli mbalimbali za chuki na vitisho, lakini mbaya kuliko zote ni pale alipotamka, "KAMA UNATAKA KUFA, SUMU SI ZIPO."
Marehemu kombani alimtabiria kifo Lowasa akaja kufa kabla ya lowasaaangalie kauli zake mwisho wa siku inawezekana kabisa akafa yeye akamwacha Tundu Lissu hai
The Hague haipo mbali na IGP wameipata video yake wanaifanyia kazimpuuzi huyo pia ajuwe wanao teseka kwa utawala mbovu wa ccm sio viongozi wa vyama ni wananchi wa kawaida. yeye haona hao ccm wanao sema watapinga watu mabuti ? sirro ni IGP wa ovyo kabisa.