Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Allah hajawai kuwepo kabla ya Muhammad the same way kwa uislam haujawai kuwepo kabla ya Muhammad.
Kama dunia ina maelfu ya miaka na jamii nyingi za watu, je huyo Allah kwanini alijitokeza baadae sana na kwa waarabu pekee na wakati huo kulikuwapo wazungu, watu weusi, wahindu, wachina n.k je huko Allah hakuwa na uwezo wa kueneza injili yake?
Na je kwanini kitabu chake na injili yake imebase kwa lugha moja tu ambayo haina miaka mingi hapa duniani na hata si lugha kuu ya mawasiliano dunian? Je huyo Allah hatambui lugha zingine? Na je hakujua kuwa kuna mataifa mengine?
Mnaosema uislam ulikuwepo tangu kipindi cha akina adamu, na akina musa&ibrahimu, je hawa watu walimuabudu Allah? au Mungu wao wa kiyahudi kwa majina ya tamaduni zao? Yaani ibrahimu aliyemuabudu Yehova leo mseme alikuwa muislam, wakat huo Yehova kwa uislam si Jina La Mungu na wala majina yote ya Mungu aliyeabudiwa na akina ibrahimu, Musa, yakobo yanajulikana na yanafuata tamaduni zao za uyahudi, je huyo Allah alitokea wapi?
Pili kwa mujibu wa hawa waislam wanadai kuwa uarabu umetoka ktk uzao wa ishmael, yaani mtoto aliyezaliwa kutoka kwa myahudi(white man) na mmisri(black woman) then how come mtoto apatikane chotara? Yaan muarabu apatikane baina ya uzao wa mtu mweupe na mweusi inawezekanaje maana kiuhalisia mtoto alitakiwa kuwa Afro-Asian ambaye si muarabu ?, hapa bado kunaleta ukakasi wa historia ya hawa makanjanja wanaosema uislam umetoka kwa akina ibrahimu,
Ukweli uko wazi uislam umeundwa na wajanja kama ukristo na takataka zingine za kidini zilivyoundwa, hakuna dini wala kitabu kilichoshushwa, bali ni mapokeo ya wajanja yalitungwa kwa kucopy stories za jamii za watu wa kale na kuunda mifumo mipya ya kuwatawala watu kwa kuwaaminisha mifumo hiyo ina upekee na ni lazima kuifuata, usipofuata utaadhibiwa na Viumbe wasioonekana wanaoitwa Miungu na majina mengine ya uongo.
Dini zote ni michongo.