let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Atakae pinga nilichokieleza mwambie akuonyeshe ni wapi,lini na nani alimslimisha Muhammad.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakae pinga nilichokieleza mwambie akuonyeshe ni wapi,lini na nani alimslimisha Muhammad.
Nilisema sitaki refa neutral bali wewe usimame upande wake ...kama mmeshindwa kujibu swali la issa kufa au.la basi inaonyesha hata uislamu hamuhujuiRefa kazi yake kuwa neutral.
Kama hujakubaliana na hoja yake leta yako.
Swali kakujibu.
hao walikuwa wayahudi it's simple and clear wanaofuata torati ya Musa matter of fact hata YESU alikuwa myahudi ....so unataka kusema na baba yake Muhammad alikuwa myahud??Kabla ya kuja kwa Yesu si kulikuwa na watu wazuri wanafanya ibada kama MARIAM, Yohana, zakaria walikuwa wanafuata mafundisho gani
Yaani unataka majibunyangu mimi?Nilisema sitaki refa neutral bali wewe usimame upande wake ...kama mmeshindwa kujibu swali la issa kufa au.la basi inaonyesha hata uislamu hamuhujui
brother unaiongelea bible as if unaijua ila kila paragraph inaonyesha jinsi ulivyo mweupeNishasema hili kwamba kabla ya kuja kwa muhamad mafundisho ya Yesu/ Issa hayakufika sehemu nyingi hivyo watu wa eneo la al jazeera walifuata mafundisho ya ibrahimu, pia mainly Issa/ Yesu alitumwa hasa kwa watu wa makabira ya wa israel, kama vile wa israel kufuata sana mafundisho ya Musa haimanishi haku kuwa na mitume sehemu nyingine ila mafundisho ya mitume wengine hayakufika huko, kabla ya kuja kwa Muhamad mitume walikuwa wanatumwa kwenye sehemu flani kwa watu wake, kama vile kina Mariam, yohana kwa nini hawakufata mafundisho ya Suleimani, huenda mafundisho yake hayakufika huko
Basi acheni kusumbua watu na hizo dini zenu za kishabiki..maana unafuataje kitu usicho kijua...Yaani unataka majibunyangu mimi?
Mimi nimeuliza swali juu huko, sijajibiwa.
Nimeuliza swali juu huko sijajibiwa, kasaidianeni mnijibu.mkish8ndwa kuj8bu muelewe. Kuwa ni hoja mfu.Basi acheni kusumbua watu na hizo dini zeni za kishabiki..maana unafuataje kitu usicho kijua...
Swali gani ulizaNimeuliza swali juu huko sijajibiwa, kasaidianeni mnijibu.
Usinilishe maneno kijana hakuna mtume ambae sio mja wa Allah na wakati huo huo ni mtume uja wa Allah ni kwa kila kiumbe hai ila utume bikwabaadhi ya watu acha kuruka ruka nabii issa ni mja wa Allah ila ni mtume hao mashkehe kutokujua sio ajabu ni majambo ya kawaida SanaaaaaaaNa kuhusu hayo maswali kuwa mepesi unayo sema mepesi ndiyo hayo hayo yaliwafanya mashekh kunyosha mikono juu...hadi shekh mmoja kutaka kukanusha kauli yake mwenyewe ya kuwa "issa ni mtume " ambayo kama ilivyo wewe umekili kuwa ni mtume yeye baada ya kuona swali gumu akataka kusema ni mja wa mwenyezi mungu ila siyo miongoni mwa mitume, ila mashekh wenzake wakamwambia wakubali tu kuwa,swali limewashinda kuliko.kuanza kukanusha utume wa issa😁😁😁
Jamaa waajabu sana anataka nidanganye labdaMbona kakujibu vizuri tu, hajui. Unataka aseme uongo?
Huna hoja kijana poleOmba msaada kwa Refa FaizaFoxy atowe jibu la swali la mwisho ..tusonge mbele
Allah yupi sasa? Maana kiarabu wao pAllah ni Mungu kama ilivyo God kwa kiingereza.Kwangu Mimi naweza Kujibu Kutumia Historia..
Japo sijasimama sehemu yoyote kwakuwa Ni swali lilio mbele Basi inabidi Nilivagae tu...
JIbu la Haraka haraka Bila Kuconsider Othee Factor ni Ndiyo Allah alikuwepo..
UShahidi Ni Upi..
Baba Yake Na Muhammad alikuwa Akiitwa Abdullah yaani Mtumwa Wa Allah.. Jina ambalo limetokana na Maneno mawili (Abdu-Mtumwa na Allah)
Na usisahau Baba yake Mohamed alifariki kabla ya Kuzaliwa kwa Mohamed..
Jina la Mtume Muhammad ibn Abdullah ibn Abd al-Muttalib ibn Hashim
I rest my Case
Nimekuambia shekh mmoja ndiyo alianza kukanusha baada ya swali kuwa gumu ..ndiyo akasema issa siyo mtume ni mja tu wa mwenyezi mungu yaani ni mchamungu wa kawaida .. sikusema ni wewe ...nilikuwa nakuonyesha dalili ya swali litakalo kupata huko mbele ndiyo ungejua kwanini shekh mzima maji yalimfika shingoni hadi kuanza kuongea tofauti na maandiko ya uislamu.Usinilishe maneno kijana hakuna mtume ambae sio mja wa Allah na wakati huo huo ni mtume uja wa Allah ni kwa kila kiumbe hai ila utume bikwabaadhi ya watu acha kuruka ruka nabii issa ni mja wa Allah ila ni mtume hao mashkehe kutokujua sio ajabu ni majambo ya kawaida Sanaaaaaaa
Achana na shehe uliza majibu yako acha kuruka ruka kijana kwenye maswali manne moja nimekwambia silijui mengine nimekujibu umekosea kabisa hoja ujue kama uislamu umekamilika kijanaNimekuambia shekh mmoja ndiyo alianza kukanusha baada ya swali kuwa gumu ..ndiyo akasema issa siyo mtume ni mja tu wa mwenyezi mungu yaani ni mchamungu wa kawaida .. sikusema ni wewe ...nilikuwa nakuonyesha dalili ya swali litakalo kupata huko mbele ndiyo ungejua kwanini shekh mzima maji yalimfika shingoni hadi kuanza kuongea tofauti na maandiko ya uislamu.
Muislam anapokufa na kuzikwa, baada ya jamaa kuondoka makaburini, Malaika wawili humshukia na kumuuliza marehemu , "Je, ulimuingelea vipi mtume Mohammad?" Ingawa mafundisho mengine ya Uisla husema marehemu hushukiwa na malaika, allah na mtume mohammad, ambapo allah humuuliza kuhusu uislam na mtume Mohammed.Mleta mada fanya kwanza utafiti kabla ya kuuliza uislam hakuja enzi za Muhammad na Muhammad kwenye umri huo hakupewa uislamu walipewa utume vitabu vya uislam vilikua taurat injili zaburi na qur an na hivyo vilikua ama viliharibiwa sababu uislamu ulikua haujakamilika mpaka ulipo kukamila chini ya s a w na ahadi ya Allah juu ya kuilinda qur yake dhidi ya machafu au njama zozote ilizofanywa kwa vitabu vyengine ndio maana akawaambia kama mnaweza mtengeneze mfano wa aya moja tu kama mtaweza kwakua qur an imekamilika na haiwezekani kuchakachuliwa qur an haijakopi vitabu vyengine imeelezea tu baadhi ya vitabu ama matukio yalotokea kwenye vitabu vyengine ama zama nyengine mwisho qur an inakataa kua Yesu ama masih issa alisulubiwa Allah katika Quran ana jielezea ama kujipea sifa yake kua yeye ndio ya mwanzo na wa mwisho
Teh teh 😃 😃 😃 noma sana
Allah na God Sio sawa..Allah yupi sasa? Maana kiarabu wao pAllah ni Mungu kama ilivyo God kwa kiingereza.
Pia kabla ya allah wa kiislam palikuwepo na Allah wengine waliokuwa wakiabudiwa pale
SIo waislamu wote Huamini Hizo riwaya Ulizoziweka maana Hazipo kwenye Quran wala Hadithi za MtumeMuislam anapokufa na kuzikwa, baada ya jamaa kuondoka makaburini, Malaika wawili humshukia na kumuuliza marehemu , "Je, ulimuingelea vipi mtume Mohammad?" Ingawa mafundisho mengine ya Uisla husema marehemu hushukiwa na malaika, allah na mtume mohammad, ambapo allah humuuliza kuhusu uislam na mtume Mohammed.
Swali linakuja, je kabla ya kuwepo mohammed ni maswali gani waislam walikuwa wanaulizwa? Au walikuwa wanaulizwa tu hivyohivyo? Au hamjawahi kujiuliza?
Bwana Utamu...Wewe ndo Mzee Yule wa Kule kwenye ile Apps iliyofungiwa??Achana na shehe uliza majibu yako acha kuruka ruka kijana kwenye maswali manne moja nimekwambia silijui mengine nimekujibu umekosea kabisa hoja ujue kama uislamu umekamilika kijana