Je, Allah alikuwepo kabla ya kushuka Quran?

Je, Allah alikuwepo kabla ya kushuka Quran?

Achana na shehe uliza majibu yako acha kuruka ruka kijana kwenye maswali manne moja nimekwambia silijui mengine nimekujibu umekosea kabisa hoja ujue kama uislamu umekamilika kijana
Hayo ni mawazo ya shabiki wa dini ..kila anaye fanya dini ushabiki huona dini yake ni kamili.
 
Muislam anapokufa na kuzikwa, baada ya jamaa kuondoka makaburini, Malaika wawili humshukia na kumuuliza marehemu , "Je, ulimuingelea vipi mtume Mohammad?" Ingawa mafundisho mengine ya Uisla husema marehemu hushukiwa na malaika, allah na mtume mohammad, ambapo allah humuuliza kuhusu uislam na mtume Mohammed.
Swali linakuja, je kabla ya kuwepo mohammed ni maswali gani waislam walikuwa wanaulizwa? Au walikuwa wanaulizwa tu hivyohivyo? Au hamjawahi kujiuliza?
Nashukuru ila hili swali pia jepesi mbona kila umma ulikua na manabii ama mtume wake au wengine walikua na nabii zaidi ya mmoja kwa nyakati moja mfano mussa na harun as kwahio kama kuna swali utaulizwa kuhusiana na manabii ama mitume walokuja kwako kwa kipindi hiko nadhani nimekupa jibu sahihi
 
Hayo ni mawazo ya shabiki wa dini ..kila anaye fanya dini ushabiki huona dini yake ni kamili.
Wala hakuna mahala nimeweka ushabiki nimekujibu swali ukimwambia mtu wa dini nyengine akupe ukamilifu wa dini yake kwa maandiko anayoyaamini sidhanii kama atakupa bali ni muislam pekee atakupa
 
SWALI LA MSINGI

Ili Uwe Muislam unapaswa kushuhudia kuwa yupo Mungu mmoja tu ambaye ni Allah na Muhammad ndiye Mtume wake wa mwisho....

Sasa hayo yote Muhammad alishuhudia kwa nani? Na alishudia kuwa yupi ndiye Mtume pekee wa Mwenyezi Mungu ilihali hakuwepo?
Na ndio nawashangaa hawa wanaosema kwamba mara Ibrahimu alikuwa muislamu,mara Issa alikuwa muislamu..hahahaa
 
Hata nabii mussa nae pia alikua muislam kama sijakosea alivyo kua anaenda kwenye mlima turi kama sijakosea alikua anavaa viatu mpaka Allah alipo mwambie avue viatu kwani yupo mahala patakatifu
Kama kuvua viatu ndio uislamu,mbona muhammad alikua avui
 
Wala hakuna mahala nimeweka ushabiki nimekujibu swali ukimwambia mtu wa dini nyengine akupe ukamilifu wa dini yake kwa maandiko anayoyaamini sidhanii kama atakupa bali ni muislam pekee atakupa
Ushabiki ndiyo umekufanya uamini hivyo
 
WAislamu na jews wanaamini mungu ni mmoja na kaleta mitume kama musa na yesu
Huku wakristo wakiamini huyu mtume wa mungu yesu wakaamua kumfanya mungu , na wakristo wakatengeneza kitabu chao ambacho ni agano jipya ambacho kinapingana na mafundisho yote ya mungu yakiwemo ya musa na muhammad
Kinapingana na mafundisho ila cha ajabu quran imecopy humo
 
Allah na God Sio sawa..
Allah ni standard arabic word for God , yaani muumba wa mbingu na ulimwengu
Ila Kiarabu neno Mungu ni ilahi au Ilah na sio Allah...
Ilah siyo Mungu ni mungu or miungu (chochote cha kuabudiwa tofauti na Mungu)
PakiJinja Tricky hizo Unaweza kuwafanyia hao waislamu na wakristo wasiojua Lugha..
Unaodhani hawajui huenda wanajua kuliko wewe unayedhani unajua. Rejea marekebisho niliyokupa hapo
KWa mfano Kwenye Kalima ya kwanza ya Uislam au Tayyab kalima..

Inasema "La Ilaha Ila Allah"
Yaani "Hapana Mungu Ila Allah"
Hata Wakristo katika amri 10 za Mungu kuna amri inasema "Mimi ndimi Bwana Mungu wako, usiabudu miungu wengine."
So, kuna Mungu na miungu, hata Mungu anatambua kwamba kuna miungu wengine.
Point yako ni ipi hapo?
 
Kinapingana na mafundisho ila cha ajabu quran imecopy humo
ALiyeumba ulimwengu huu ni mungu mmoja hajawahi kubadilika wala hana mshirika ,ni kujidanganya kusema mungu mmoja aje na sheria mbili tofauti, hakuna aliyecopy chochochote
Ndio maana mungu alifanya makusudi kumleta mtume asiyejua kusoma wala kuandika lakini akatuletea kitabu kama quran ambacho kimekamilika
Angeleta mtume msomi tungesema ame edit na kadhalika ila ni miujiza ya mungu kwa mtu asiyejua kusoma wala kuandika kuketa kitabu kama quran na kikaenea dunia nzima na wasomi wote waliojaribu kufanya research ili kukikosoa wakaishia kuwa waislamu, hiyo ni miujiza ya mungu pekee
 
Allah ni standard arabic word for God , yaani muumba wa mbingu na ulimwengu

Ilah siyo Mungu ni mungu or miungu (chochote cha kuabudiwa tofauti na Mungu)

Unaodhani hawajui huenda wanajua kuliko wewe unayedhani unajua. Rejea marekebisho niliyokupa hapo

Hata Wakristo katika amri 10 za Mungu kuna amri inasema "Mimi ndimi Bwana Mungu wako, usiabudu miungu wengine."
So, kuna Mungu na miungu, hata Mungu anatambua kwamba kuna miungu wengine.
Point yako ni ipi hapo?
Ngoja Nikuache Mzee
 
Back
Top Bottom