Je, Allah alikuwepo kabla ya kushuka Quran?

Swali lako lipi? Maana naona unajijibu mwenyewe upendavyo.
 

Allah hayupo tu. Kabla ya Quran. Baada ya Quran. Hayupo.

Allah ni muhusika katika hadithi ya kutungwa na watu, nje ya hiyo hadithi hayupo.
 
Jibu maswali mzee nitakuelewa vizuri ,ukiniambia kuhusu kusoma biblia ya kiarabu utanifanya niamini tu kuwa Allah ni neno la kiarabu ila sio jina la Mungu..yaani ni sawa uniambie ushawahi kusoma biblia ya kizungu ambayo yesu anaitwa JESUS.
Na kikwao anaitwaje?
 
= mtiririko.
 
Hata nabii mussa nae pia alikua muislam kama sijakosea alivyo kua anaenda kwenye mlima turi kama sijakosea alikua anavaa viatu mpaka Allah alipo mwambie avue viatu kwani yupo mahala patakatifu
Huelewi kitu mkuu. Musa aliambiwa vua viatu vyako hapo alikuwa katika mlima Sinai baada ya kuvua alivipeleka wapi hicho kiatu?
 
Mtu anaeleta hoja ya kwamba Uislam ulikuwepo kabla ya Muhammed yuko sahihi na anaeleta hoja ya kwamba Uislam haukuwepo kabla ya Muhammad yuko sahihi pia.

Kwa maana kila jambo linalotokea duniani lilishapangwa tangu siku mwanadamu alipoumbwa ila utofauti wa lipi lianze na lipi lifuate ni kutokana na mahitaji ya ulimwengu Kwa nyakati hizo.

Kwahiyo dini ziliumbwa pale tu mwanadamu alipoumbwa ila zilizaliwa ndani ya Mtu ambae aliwekewa hatima ya namna hiyo ndani yake.

Kwahiyo Uislam ulikuwepo tangu ile siku Mungu anamuumba mwanadamu Kwa mfano wake ila ulizaliwa ile siku Muhammed anazaliwa na ukaanza kuletwa Kwa jamii baada ya miaka 40 ya Muhammad kuishi duniani.

Na uwepo wa kabla ya Muhammed ambao nauzungumzia hapo ni wakiroho ila ule wa matendo ulianza baada ya mteule wa kuleta jambo hilo jipya Kwa nyakati ambazo zilionwa ni sahihi jambo hilo kuletwa duniani kuzaliwa na kuanza kuyatenda yale yaliyomo ndani yake.

Kwahiyo Mtu yeyote ambae anakwambia kwamba Uislam ulikuwepo kimatendo kabla ya Muhammad ujue ni muongo Kwa maana Muhammad ndio mteule ambae aliletwa kwenye huu ulimwengu kuja kuuanzisha huo Uislam.

Na hii sio tu kwenye Uislam ila ni kwenye kila kitu ambacho hakikuumbwa ndani ya siku zile tano za uumbaji kabla mwanadamu hajaumbwa Kwa mfano wa Mungu mwenyewe.

NB:
Yapo matendo ya kitamaduni ambayo yapo ndani ya tamaduni za kiislam hivi leo na matendo hayo yalikuwepo tangu kale hata kabla ya mbeba maono ya Uislam hajazaliwa na hii ni kutokana na kwamba hii dini ilitengenezwa kwaajiri ya wanadamu Kwahiyo hata baadhi ya tamaduni zake zilijengwa juu ya tamaduni zote nzuri ambazo zinakubalika Kwa jamii ili kuleta urahisi na usawa wa walaji wake na hii haimaanishi kwamba kwakua matendo hayo yalikuwepo kabla ya uwepo wa huu utamaduni basi inamaanisha utamaduni ulikuwepo tangu kale.
 
Je, Allah alikuwepo kabla ya kushuka Quran?
Kwa mujibu wa historia na ushahidi mwingi wa kimaandishi, mtume Muhammad, Allah na dini yao ni mpango wa Vatican (Roman Catholic), ambao kimsingi ndiyo waasisi wake halisi kwa malengo maalum...
 
Kwahiyo Vatican ndo waliandika Qur'an?
 
Unapoteza muda na gDni za kukopy edit and paste
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…