Je, Allah alikuwepo kabla ya kushuka Quran?

Mbona maswali haya mepesi sana mzeee issa ni mtume na Muhammad ni mtume mtume wa mwisho ni Muhammad s a w na issa kua hai ama kufa sina elimu nalo ila kwa hakika kila nafsi itaonja umauti
 
Wao wanadai hata Yesu alikuwa muislamu. Ukiwaambia mbona yesu alikuwa havui malapa anapoenda hekeluni wanaanza braah braah kibao na ukali

Wao wanadai hata Yesu alikuwa muislamu. Ukiwaambia mbona yesu alikuwa havui malapa anapoenda hekeluni wanaanza braah braah kibao na ukali juu
Mtume Muhammad amezaliwa mwaka 570AD Ukristo ulishakuwepo miaka 500 ambazo ni karne 5 ndipo Mtume Muhammad akazaliwa. Quran ilishushwa na Jibril aliyekuwa anampinga Kristo. Quran ilikuja kupingana na Biblia. Fibrillation alimwambia Muhammad " Sema hakuna Mungu ila Allah " naye akatamka hivyo. Kwahiyo Mungu huyu tunayemfuata sisi Wakristo ni tofauti na Allah wa Waislamu kwasababu Wakristo wana Amri 10 ambazo Musa alipewa na Mungu lakini huku kwa Allah hakuna hiyo kitu.
Katika Ukristo kuna Samehe 7x70 huku kwa Allah kuna Jino kwa Jino.
Katika Ukristo kuna Mke mmoja Mume mmoja lakini huku kwa Allah Oa hadi wanne.
Kwenye Ukristo hakuna Talaka lakini huko kwa Allah kuna Talaka hadi Tatu.
Hebu jiulize kama Mtume Muhammad alikuwa muhimu kiasi hicho huyu angejaa kwenye hiyo Quran lakini kaandikwa mara Nne tu. Wakati huo huo Bikira Maria ndani ya Quran ameandikwa mara 15. Anapokuja kujichanganya zaidi ni pale alipomuoa mtoto wa miaka 9 Bi Aisha. Mungu wetu sisi Wakristo hajaruhusu hayo isipokuwa Allah wao. Yesu Kristo wa Nazaret alijua kusoma na kuandika lakini Mtume Muhammad alikuwa maamuma yaani hakujua kusoma wala kuandika. Musa alijua kusoma na ndiyo maana alipopewa zile Amri 10 aliambiwa nenda ukawasomee hizi ndizo amri ninazowapa. Sasa huyu mnayesema ni wa mwisho katika Mitume awe hajui kusoma atatafsiri vipi hiyo Quran? Shame on him.
 
Kabla ya Muhammad kulikuwepo na Issa ,kwa nini asifuate tamaduni za Issa akaenda kufuata tamaduni za Ibarahimu mtu wa zamani sana.
Swali la msingi
 
Mtume Muhammad alishuhudia kuwa Mtume yupi ndiye ambaye ni mmoja tu aliyetumwa na Allah?
Shahada zilitofautiana kutokana na kipindi cha nabii husika na wakati wake yeye alikua nabii ama mtume nikukiri tu kua yeye ndio mtume na ndio shahada yenyewe nashuhudia kua Allah ni mmoja na haqiqa Muhammad ni mjumbe ama mtume wake
 
Kila siku hua tunawaambia naleo tuna wakumbusha s a w utume haukuanzia kwake pia kuhusiana na kusamehe uislamu umehimiza kulipa kisasi ila ukasisitiza kwamba kusamehe ni bora zaidi Allah alimfanya s a w asijue kusoma wala kuandika sababu alijua wayahudi na manaswara wangekuja na hoja kwamba kasoma hekaya za bunuwasi ila alokua anaongea mtume kuhusiana na dini licha ya kua hakua akisoma wala kuandika yalikua ni makamilifu sababu hakuongea kwa matakwa yake wala mapenzi yake isipokua ni wahyi ufunuo ulotoka kwa Allah s w
 
Nina andiko Muhammad aliamriwa awe muislam wa kwanza kuslimu.
ila sina/hakuna andiko Muhammad alitii amri hiyo badala yake akamslimisha mke wake.
Muhammad hadi anakufa hakuslim,yeye alikuwa anaslimisha wengine tu,yete hapana.
Mkiambiwa uislamu umekamilika mnakataa kila kinachozaliwa kinazaliwa kikiwa kiislam mpaka pale wazazi au walezi nk watakapo amua kumtoa kwenye uislam na kumuingiza kwenye umajusi uyahudi nk kwahio s a w hakua na haja ya kuslimu kwakua alizaliwa akiwa muislam sio kama ninyi mnao batizwa kutolewa kwenye uislam
 
Mtume muhamad alishuhudia kwa nani? Au kwa namna nyingine, Muhammad alitoa Shahada yake kwa nani?
Mitume wote walikua WAKIJUA existence ya Mtume Muhammad (S. A. W) in short wanajuana, ila message zao sio 100% kufanana kutokana na wakati, ndio maana vitabu vya zamani vingi vina prediction ya Mtume wa mwisho.
 
kwanza kabisa angalia hii VIdeo:
View: https://youtu.be/uozietUble4?si=GkQjL7GROf-Rf5eJ kisha ndo tuendelee
 
Swali la msingi
Kuna swali ila sio la msingi s a w alifata tamaduni za issa as na wenzake issa alisali alifunga nk ambavyo s a w na ndio maana hata Allah s w kwenye funga na ibada nyengine alimwambia s a w afanye kama walivyo fanya walokua kabla yake ndio hao kina mussa issa daud nk
 
E
Faizafoxy toa neno
 
Lwiva najua unaendelea na majukumu yako kabla ya kuja kuniuliza maswali yako ila swali lako moja unalo taka kuniuliza naomba nikujibu kabisa najua unataka kusema kila nafsi itaonja umauti na kuna mahala qur an Allah alijitanabahisha kua ana nafsi sasa unataka kuuliza allah anakufaje ndio maana tunasema uislam umekamilika na qur an ni maneno ya Allah sasa majibu yako yapo kwenye hio hio qur Allah aliposema kwamba kila nafsi itakufa ila kwa amri yake yeye Allah ngoja niangalie sura ya ngapi na aya ntakuunganishia sura al Imran aya 145
 
Na hili la kua issa masih as ni mtume pia nakupa faida kidogo halafu najibu Mitume watakua ndio watu wa mwanzo kuingia peponi isipokua mitume wanne watachelewa sababu watakua na maswali yanayohitajia majibu mbele ya rabbi wetu mmoja kati ya hao wanne ni huyo issa as nae atacheleweshwa ili aulizwe na kujibu kwamba yeye aliwaambia watu kua yeye ni mungu na wamuabudu kwa bahati nzuri ama mbaya atawakataa jibu lako lipo kwenye suratul maaidah aya ya 116 kijana wewe una kila sababu ya kua muislam na hao unaosema uliwauliza haya maswali wakayashindwa ni kawaida hakuna anae jua vyote
 
Azarel bila yashaka majibu yangu yamekuridhisha na kama yapo mengine nayahitajia ntayajibu kwa uwezo wa Allah tunapowaambia kuwa uislamu ni dini ya haqqi na imekamilika hua hatusemi uongo natunaposema Quran ni kitabu halali kabisa na hakina shaka ndanimwe hua twamaanisha
 
= mtiririko.

Hilo siyo swali ingekuwa ni swali la kila nafsi itaonja mauti hao mashekh wasinge shindwa kunijibu wewe subiri maswali utayaunda wewe mwenyewe haraka ya nini ...ndani yake utajua kua bwana Muhammad alikuwa hajui hata mtume ni nini? Sasa iweje mtume mkuu kuliko wote asijue maana ya utume ....hayo unayo yadhani kuwa ndiyo swali nililo lenga hakuna hata moja ulilopatia...REFA FaizaFoxy kaa standby
 
Sawa nangojea maswali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…