Je, andiko hili la kiislamu kwa Wayahudi linawezekana kuwa sababu za chuki hizi?

Je, andiko hili la kiislamu kwa Wayahudi linawezekana kuwa sababu za chuki hizi?

na ndio dini utakayokuja kuuliza kama ni mfuasi wake.kama sio wewe ni kafiri moto unakusubiri
Lakini si kuna hata Maagizo katika Quran Takatifu ya kuuwa wasio waislam? Au hayapo


Screenshot_20231015_091910.jpg
 
Hiki ulichoandika humu ni illogical kwa sababu wanaofanya haya wanafanya au walifanya kwa sababu wanazozijua wao hakuna Ukristo unaoelekeza haya.

Na nikikwambia lete hapa andiko ktk Bible wapi Wakristo imeandikwa wawauwe wale wasiowapenda huwezi kuleta,mimi nadhani unge-stick kwenye hoja kwamba hiyo Aya hapo juu siyo ya imani yako?imeandikwa au haikuandikwa ktk kitabu chako?na je ina maana tofauti na hiyo?kama ndiyo,fafanua inamaanisha nini!
Sasa inakuwaje dini inayo fundisha upendo na aman ndo waumini wake wanaongoza kwa mauaji ya kikatili kuliko waumini wa dini inayo fundisha chuki?
 
Uislam Unashangaza hapa:-

Katika Mafundisho yao, Hotuba, Masomo na Mawaidha au Mahusia wanaongea vizuri sana na Wanasema :-

Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi na viumbe vyote, au Mola mlezi wa wote

SWALI: Ni kwanini sasa Wao wanawaua wasio waislam ilihali ni Viumbe vya huyohuyo Mola mlezi muumbaji wa wote na vyote?

Iweje Dini hiyohiyo ikuagize uuwe wasio waislam?

Dini yenu inataka muishi wenyewe duniani?

mgen
Gentleman 446
 
Aisee, nithubutu kusema tu kwamba, unaonekana una u-PUMBAVU mwingi sana
Mpumbavu ni ww usiye jua hata historia ya dunia unayo ishi.

Ngoja nikupe elimu kidogo we mbumbu.

Wakristo wenzio waliivamia bara America, Australia na Newzirand na kuuwa mamilioni kwa mamilioni ya wenyeji wake ambao ni wahindi wekundu na kuwapora ardhi zao.
Hitra aliye angamiza mamilioni ya wayahudi alikuwa mkirsito mwenzenu.

Musorin dikteta wa Italia aliye uwa mamilioni ya watu ni mkirsito mwenzenu.

Stalin dikteta wa Urusi aliuwa mamilioni ya watu alikuwa mkirsito mwenzenu.

Vita ya kwanza na ya pili ambayo iliuwa watu zaidi ya miamoja wahusika wote walikuwa ni wakristo wenzao.

Hapo nimetaja kwa uchache tu maana sijataja mauaji ya Marekani kwenye nchi mbali mbali ,wala mauaji ya vita ya masalaba iliyo anzishwa na kanisa katoriki.
 
Sasa inakuwaje dini inayo fundisha upendo na aman ndo waumini wake wanaongoza kwa mauaji ya kikatili kuliko waumini wa dini inayo fundisha chuki?
Bro unatembea nje ya topic kaa kwenye hoja ya mleta mada na bado hujajibu maswali yangu.

Main post pale juu ile Aya ni ya imani yako?imeandikwa au haikuandikwa ktk kitabu chako?na je ina maana tofauti na hiyo?kama ndiyo,fafanua inamaanisha nini!hope ina maana tofauti na niliyoelewa mimi but kama inasimama vile vile kama inavyosomeka basi hilo ni tatizo kubwa!
 
Kuna namna dunia inabidi ifanye jambo kukabiliana na dini zenye mafundisho ya aina hii hasa uislamu,mbona imani nyingine hazina huu upuuzi.
Sijawahi sikia kabisa imani za Rastafarians, Paganism, Buddhism na Hinduism zikihisiwa na mauaji ya Watu wasio waumini wake wala wasioamini kabisa katika dini, sasa hawa Ndugu zangu na miye sijui wana changamoto zipi haswa hadi wajinasibishe na itikadi kali!...?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Interesting topic japo sioni huu uzi kama utadumu kwa muda mrefu,maana mods ni wakali kama bana Israel 😏😏.
 
Bro unatembea nje ya topic kaa kwenye hoja ya mleta mada na bado hujajibu maswali yangu.

Main post pale juu ile Aya ni ya imani yako?imeandikwa au haikuandikwa ktk kitabu chako?na je ina maana tofauti na hiyo?kama ndiyo,fafanua inamaanisha nini!hope ina maana tofauti na niliyoelewa mimi but kama inasimama vile vile kama inavyosomeka basi hilo ni tatizo kubwa!
Sasa hayo mafundisho ya dini yenu ya upendo yana faida gani iwapo yameshindwa kuwabadilisha waumini wake kuwa kama maandiko yanavyo taka?

Kuhusu aya za Quran ni lazima kwanza uwe na elimu ya kutosha kuzielewa sio kusoma soma juu juu tu alafu unaleta mihemko.
Kila aya iliyoko ndani ya Qruan iliteremka kutokana na mazingira yaliyo kuwepo wakati wa kutoka kwake na ndio maana hata mtume alikuwa anaishi na wasio kuwa waisilam na hakuwahi kuwauwa, na ndio maana ww huijawahi kufuatwa na muislam kukuua ili kutimiza hilo andiko japo kuwa hapo ulipo wamekuzunguka kila mahali.

Hii tabia ya kuongelea mambo msio na elimu nayo mungu aipendi kabisa.
 
Nakushauri fuatilia mafundisho ya uislam kwa mtazamo chanya na kwa watu sahihi utapata amani ya moyo utaacha kuchukia uislam utaona ni dini tu ambayo watu wanaiheshim na kuna watu wanailewa vibaya
Kama mtume Muhammad kupaka wanja na hina na kumlamba mdomo na kumnyonya ulimi mwanamme mwenzake al Hussein msikitini akiwa uchi????
 
Nimetoka ibada muda huu(mimi Mkatoliki)kwenye nia za misa kulikuwa na ombi maalumu tuwaombee kwa Mungu Wapalestina na waisrael ili vita iishe amani irudi ktk nchi zao

Na kabla ya ibada kuisha tukasimama tukasali sala ya Baba yetu moja,na Salamu Maria moja kwa ajili ya amani ya hawa watu,tumeaswa kwa imani zetu tukumbuke Mungu hakutuweka makundi makundi ili tutengane duniani bali tuishi kwa umoja tukihimizana njia za kumfuata na kumtii yeye.
Rudi kwa hao wengine mliowaombea sasa.Siku hizi tatu-nne mfululizo wanatoa mawaidha ya upotoshaji kuhusu mapambano hayo kwa kutoa kadhfa,kebehi na upotoshaji mtupu!
 
Sasa mbona mnalialia nakuandamana Israel inawaonea huku mkisema Allah akbar mkibana marinda.
sio mimi.ila kama haujui utalia lia.mimi naona sawa tu.ili ule mwisho uje inatakiwa yatokee haya yanayotokea.ni mwanzo tu.picha lenyewe linakuja.uenda tusiwepo wakati huo ila lazma yatimie
 
Dini au utamaduni unaofundisha wafuasi na waamini wake chuki,hasira,uhuni,uuaji,uonevu,kutovumiliana,kutosamehe, ubaguzi,kuweka watu kwa madaraja hadi watumwa,ubakaji,upendeleo,kujitenga na ghasia nyingine ni ya kutupiliwa mbali yenyewe na takataka zake zote mara moja bila huruma,kusitasita na kugeuka nyuma.
😂😂😂😀😀Wenyewe wakifanya hizo takataka wamepewa ahadi lukuki ndio zinazowapa motivation
 
sio mimi.ila kama haujui utalia lia.mimi naona sawa tu.ili ule mwisho uje inatakiwa yatokee haya yanayotokea.ni mwanzo tu.picha lenyewe linakuja.uenda tusiwepo wakati huo ila lazma yatimie
Yatimie wakati Mungu wenu mwarabu kala kona na kuzama chaka? Akiwaacha mnalialia Allah akbar huku mmebana marinda?
 
Back
Top Bottom