Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Lakini si kuna hata Maagizo katika Quran Takatifu ya kuuwa wasio waislam? Au hayapona ndio dini utakayokuja kuuliza kama ni mfuasi wake.kama sio wewe ni kafiri moto unakusubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini si kuna hata Maagizo katika Quran Takatifu ya kuuwa wasio waislam? Au hayapona ndio dini utakayokuja kuuliza kama ni mfuasi wake.kama sio wewe ni kafiri moto unakusubiri
Sasa inakuwaje dini inayo fundisha upendo na aman ndo waumini wake wanaongoza kwa mauaji ya kikatili kuliko waumini wa dini inayo fundisha chuki?Hiki ulichoandika humu ni illogical kwa sababu wanaofanya haya wanafanya au walifanya kwa sababu wanazozijua wao hakuna Ukristo unaoelekeza haya.
Na nikikwambia lete hapa andiko ktk Bible wapi Wakristo imeandikwa wawauwe wale wasiowapenda huwezi kuleta,mimi nadhani unge-stick kwenye hoja kwamba hiyo Aya hapo juu siyo ya imani yako?imeandikwa au haikuandikwa ktk kitabu chako?na je ina maana tofauti na hiyo?kama ndiyo,fafanua inamaanisha nini!
Mpumbavu ni ww usiye jua hata historia ya dunia unayo ishi.Aisee, nithubutu kusema tu kwamba, unaonekana una u-PUMBAVU mwingi sana
Bro unatembea nje ya topic kaa kwenye hoja ya mleta mada na bado hujajibu maswali yangu.Sasa inakuwaje dini inayo fundisha upendo na aman ndo waumini wake wanaongoza kwa mauaji ya kikatili kuliko waumini wa dini inayo fundisha chuki?
Wahusika mkuu wa kuchochea chuki ni mapadiri wa kanisa katoriki.Rwanda waliuana kwa sababu za kikabila siyo dini. Acha uongo wewe.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo Hitra aliye waangamiza wayahudi alikuwa muislam?
Sijawahi sikia kabisa imani za Rastafarians, Paganism, Buddhism na Hinduism zikihisiwa na mauaji ya Watu wasio waumini wake wala wasioamini kabisa katika dini, sasa hawa Ndugu zangu na miye sijui wana changamoto zipi haswa hadi wajinasibishe na itikadi kali!...?Kuna namna dunia inabidi ifanye jambo kukabiliana na dini zenye mafundisho ya aina hii hasa uislamu,mbona imani nyingine hazina huu upuuzi.
Sasa hayo mafundisho ya dini yenu ya upendo yana faida gani iwapo yameshindwa kuwabadilisha waumini wake kuwa kama maandiko yanavyo taka?Bro unatembea nje ya topic kaa kwenye hoja ya mleta mada na bado hujajibu maswali yangu.
Main post pale juu ile Aya ni ya imani yako?imeandikwa au haikuandikwa ktk kitabu chako?na je ina maana tofauti na hiyo?kama ndiyo,fafanua inamaanisha nini!hope ina maana tofauti na niliyoelewa mimi but kama inasimama vile vile kama inavyosomeka basi hilo ni tatizo kubwa!
Kama mtume Muhammad kupaka wanja na hina na kumlamba mdomo na kumnyonya ulimi mwanamme mwenzake al Hussein msikitini akiwa uchi????Nakushauri fuatilia mafundisho ya uislam kwa mtazamo chanya na kwa watu sahihi utapata amani ya moyo utaacha kuchukia uislam utaona ni dini tu ambayo watu wanaiheshim na kuna watu wanailewa vibaya
Sasa mbona mnalialia nakuandamana Israel inawaonea huku mkisema Allah akbar mkibana marinda.Sasa ndo zama za mwisho.HYO HADITHI.
yaani israel atachezea kichapo kitakatifu.
Mm sio kafiri, mm n kafiri pro maxna ndio dini utakayokuja kuuliza kama ni mfuasi wake.kama sio wewe ni kafiri moto unakusubiri
Na mkia nyuma umeotaMm sio kafiri, mm n kafiri pro max
Rudi kwa hao wengine mliowaombea sasa.Siku hizi tatu-nne mfululizo wanatoa mawaidha ya upotoshaji kuhusu mapambano hayo kwa kutoa kadhfa,kebehi na upotoshaji mtupu!Nimetoka ibada muda huu(mimi Mkatoliki)kwenye nia za misa kulikuwa na ombi maalumu tuwaombee kwa Mungu Wapalestina na waisrael ili vita iishe amani irudi ktk nchi zao
Na kabla ya ibada kuisha tukasimama tukasali sala ya Baba yetu moja,na Salamu Maria moja kwa ajili ya amani ya hawa watu,tumeaswa kwa imani zetu tukumbuke Mungu hakutuweka makundi makundi ili tutengane duniani bali tuishi kwa umoja tukihimizana njia za kumfuata na kumtii yeye.
sio mimi.ila kama haujui utalia lia.mimi naona sawa tu.ili ule mwisho uje inatakiwa yatokee haya yanayotokea.ni mwanzo tu.picha lenyewe linakuja.uenda tusiwepo wakati huo ila lazma yatimieSasa mbona mnalialia nakuandamana Israel inawaonea huku mkisema Allah akbar mkibana marinda.
KWANI MAFUNDISHO YA KUUA WATU KWENYE BIBLIA HAYAPO?Lakini si kuna hata Maagizo katika Quran Takatifu ya kuuwa wasio waislam? Au hayapo
View attachment 2782570
😂😂😂😀😀Wenyewe wakifanya hizo takataka wamepewa ahadi lukuki ndio zinazowapa motivationDini au utamaduni unaofundisha wafuasi na waamini wake chuki,hasira,uhuni,uuaji,uonevu,kutovumiliana,kutosamehe, ubaguzi,kuweka watu kwa madaraja hadi watumwa,ubakaji,upendeleo,kujitenga na ghasia nyingine ni ya kutupiliwa mbali yenyewe na takataka zake zote mara moja bila huruma,kusitasita na kugeuka nyuma.
Yatimie wakati Mungu wenu mwarabu kala kona na kuzama chaka? Akiwaacha mnalialia Allah akbar huku mmebana marinda?sio mimi.ila kama haujui utalia lia.mimi naona sawa tu.ili ule mwisho uje inatakiwa yatokee haya yanayotokea.ni mwanzo tu.picha lenyewe linakuja.uenda tusiwepo wakati huo ila lazma yatimie
Watakula ahadi zao.Wakishindwa kabisa,wabaki na ukaidi wao pengine wataufaidi siku ya Eid al Ahdha!😂😂😂😀😀Wenyewe wakifanya hizo takataka wamepewa ahadi lukuki ndio zinazowapa motivation