Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

Sisi wanyonge tusubiri kuona Mshindi ni nani. Mengine hayatuhusu
 
Asipokuelewa basi😆
 
Good decision...!

Umejiokoa kujifunga kwa maneno yako mwenyewe kwa kuamua unyamaze ili kusubiri kuuona mwisho wa ndugu zako...!

I say again, this is the right & good 👍👍👍 decision...
 
Wish you all the best kwenye kusubiria kwako, kwa maana hamjui siku wala saa!.
P
Thank you...

It's true, saa wala siku anajua yeye...

Lakini kama hata viashiria (signs) kuonyesha hatari au uzuri/ubaya au mwanzo/mwisho wa kitu/jambo fulani, nyie huko CCM hamwezi kuzitambua, basi, nyie ni wazi kuwa ni wafu kabisa, yaani MMESHAKUFA...!!!

Hata msimu au majira ya mvua huwa tunayatambua kwa mabadiliko ya hali ya hewa kama vile uwepo wa mawingu nk nk...

Hata kitu/mtu anayeelekea kufa utaziona dalili zake wazi bila hata kuhitaji taaluma ya udaktari...

Moja ya dalili ya kuwa CCM wameshakufa ni UOGA na HOFU kubwa inayoendelea kuwatawala...

They are so desperate to the extent that, they are ready to do any stupid inhuman acts such killing and aothers just to make sure that they continue staying in power...

Just refresh your mind and think about what happened in 2019 & 2020 election under Magufuli presidency. Those were desperation acts...

That's why God was intolerant with the leader of those acts. He allowed death to take him away...

It's surprising that, you remnants of CCM have nothing to learn....

In my opinions I can say this;

That, if your eyes can't see and your ears can neither listen nor understand the demands voiced by the people, then we have to let nature (karma) teach you a lesson that you will never forget...

And I, say LET IT BE SO....

Thank you...
 

Kama una njaa nenda kale.
 
Thank you...

It's true, saa wala siku anajua yeye...
Kwenye hili tuko pamoja
Its not all of us, we are not all the same, most of you people who are short sighted, you kept silent, till things till bad things happens!, look at what some of us did, to try prevent the worst to happen! Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Kwa sababu tumeisha umwa na nyoka, tumsaidie Mama na yeye asije kung'atwa!. Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
P
 
Maelezo mengi lkn hayaeleweki
Salome mgaya ni nani?
Pm anahusika vipi na salome mgaya?
Tra nao wametoa taarifa zipi?
Kwa nini Pm ajiuzuru?
Hebu dadavua
 
Maelezo mengi lkn hayaeleweki
Salome mgaya ni nani?
Pm anahusika vipi na salome mgaya?
Tra nao wametoa taarifa zipi?
Kwa nini Pm ajiuzuru?
Hebu dadavua

Salome mgaya ni mfanyabiashara aliyekamatwa na mzigo wa magendo ya vitenge, Ni mshirika wa kibiashara na PM wakati mzigo unakamatwa Vijana wake akiongozwa na mwanae PM waliwalipa watu kwenye mitandao ya kijamii waendeshe propaganda TRA inabambikia watu kesi.

Ndipo TRA wakatoa tamko lao.
 
Hacha uchawi wako huo

Fitna hazikusaihidi

Uliwazalo na ulitakalo hayatatokea
 

TRA wamefanya kazi ya kukamata mzigo wa magendo.

Mtoto wa Waziri Mkuu kwa kutumwa akaja kuzuia mzigo usipekuliwe Vijana wa TRA wakakomaa mzigo ukapekuliwa.

Wakapanga mbinu TRA wanabambikia watu Kodi.

Wameshindwa.

Uwajibikaji ni msingi wa maendeleo.
 
Maswali muhimu kwa tusielewa vyema the whole saga ni haya;

1. Huo mzigo uliokwepeshwa kodi ni wa nani...?

2. Ni wa Waziri Mkuu mwenyewe au ni wa mtoto huyo wa Waziri Mkuu...?

3. Kama siyo ya WM wala wa huyo mtoto wa WM, then ni wa nani. Na kwanini mtoto wa WM ahusike iwapo si muhusika wa mzigo huo...?

All in all haijalishi sana kuelewa mzigo huo ni wa nani. Shauku ya kila mtu ni kuelewa, kwanini mtoto wa PM ashiriki kuwakingia kifua wakwepa kodi...!!

Na muhimu zaidi ni kuwa, iwapo tukio hilo ni la kweli na kwamba wahusika walidhamiria kukwepa kulipa kodi ya nchi kwa usaidizi au ushiriki wa moja kwa moja wa mtoto wa kiongozi mkubwa serikalini yaani Waziri Mkuu...

Then hakuna namna ya kufanya isipokuwa ni lazima kuwe na uwajibikaji wa kisiasa na kisheria kwa WM Majaliwa K. Majaliwa na mwanae + wenzake wote respectively....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…