Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

Swali muhimu ni kwanini mtoto wa PM kwa kushirikiana na watumishi wasiokuwa waaminifu walistage mitandaoni kwa kusema TRA inabambikia watu kodi…?

Tuwapongeze TRA kwa ujasiri wa kutoa Taarifa kwa umma juu ya upotoshaji uliofanyika kupitia kwa mtoto wa Waziri Mkuu.
 
Upo sahihi. Kwa Tanzania Waziri Mkuu ni msimamizi wa shughuli za Serikali Bungeni na Kiongozi wa Mawaziri Serikalini. Baaaas!

Kutoka kuwa msimamizi wa serikali hadi mvusha magendo.

Huyu bwana anafahamu yupo ukingoni anajitahidi kweli ale kwa mikono miwili.
 
Kutoka kuwa msimamizi wa serikali hadi mvusha magendo.

Huyu bwana anafahamu yupo ukingoni anajitahidi kweli ale kwa mikono miwili.
Huyo jamaa ni kawaida yake. JPM alimwekaga kando kwa sababu hizo hizo. Uwizi, magendo ya korosho na rushwa kubwa kubwa.
Huwa nashangaa kuna watu wanamwamini eti ndo turufu ya CCM wananchi. Wapi?!
 
Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Mwenyekiti na kamati kuu inayo mamlaka ya kuwajadili na kupendekeza majina matatu na lipatikane jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
Mkuu
 
Huyu uliyemgusa hapa ni wa pili baada ya aliyekusudiwa na mleta uzi.
 

Upepo umeanza kuvuma kwa kasi.
 
Chama hicho kime....a sana watz,

Na da..m..u Ina TABIA ya kudai KISASI.

Hapatatulia kamwe
 
Kwani issue ya Ndugai ilianzaje na iliendaendaje baada ya kuwa imefumuka?
 
CCM wanayo ngao moja kubwa ambayo huwa inawasaida na ambayo vyama vingine vyote Tanzania havina; STRONG INTELLIGENCE SYSTEM within, more or less similar to that of STATE. Hiki kitu vyama vingine vyote havina, na hicho ndicho huwa muda wote kunawaangusha wapinzani
 
Hili ni sakata la kutengeneza; ni maigizo perce!. Kitu halisi kiko nyuma ya pazia kimefichwa ili itakapotokea huko mbele ya safari likatokea lolote, sisi laymen tujue kuwa ni hili sakata la TRA wakati kumbe siyo. Refer kwenye sakata la Ndugai; "achunguzaye na afahamu"
 
Akili kubwa mnaona mbali mno wala dagaaa watakuja hapa kusema anachafuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…