Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

Sote tuandamane mpaka AJIUZULU
Sijaona Mtanzania wa kuandamana. Bado sana. Watanzania ninaowajua mimi hata kama anadai haki yake utasikia anaomba msaada asaidiwe kupata haki yake. Hatuko tayari kuipigania haki ila tunasubiri tupewe kama mtoto anavyopewa pipi. Ingekuwa nchi za wenzetu kingeshanuka mapema
 

Serikali hailogwi [emoji23][emoji23][emoji23]…. Tunajua ni mchawi kweli hadi kupeleka Moshi kwenye gari la Magu haikuwa mchezo, apeleke Moshi TRA
 
Bahati mbaya hatuna bunge huru, ni la kupokea maelekezo kutoka serikalini
 
Nchini aliyepata kujiuzuru ni Ali Hassan Mwinyi na baadaye akawa Rais wa nchi. !! Na mwingine ni Job Ndungai yeye bado hajawa Rais ! Ngoja tusubiri tuone !!
 
CCM huwa hawana utaratibu wa kijiuzulu.

Huwa wanangoja upepo upite sababu nyingi watz ni wasahaulifu mapema , watu wa trend, wapenda umbeya na mambo mepesi.

Hajiuzulu mtu

Subiria utaona.
Na hili nalo litapita- in JK voice. !!
 
Kama mgogo wa watu mlimtimua kwa kauli tu tutaona kama kuna Haki huko CCM
 
Wewe ni kichaa
 
Hata Mimi nipo hapa

Uhusiano wa Majaliwa na Mama bonge ni zaidi ya mahusiano ya kibiashara. Mzigo uliokamatwa ni mali ya majaliwa ndiyo maana mwanae saad majaliwa alikuwepo kuwabishia TRA wasikague makontena yaliyokamatwa na maafisa wa TRA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…