Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

Wakazi wa Kusini wanajua umafia wanaofanyiwa kwenye korosho, leo ameingia kwenye vitenge.

Hongera nyingi kwa Vijana wa TRA kufanikisha kazi Yao.
Aliposababisha mpinzani wake kwenye Jimbo akamatwe kwa tuhuma za Rushwa ili apote bila kupingwa ndio mwanzo niliachaga kumuamini tena
 
Nyie wafanyabiashara msio waaminifu mnajulikana sana na fitina zenu lakini muda sio mrefu mtanasika tu kisha mkondo wa sheria utawahusu pima. Mnamwandama sana kiongozi wa shughuli za serikali bungeni ili mpachike mtu wenu bila kutambua kwamba mnaenda kusambaratisha watu wenu wote.

Tawala hizi zinabadilika msijione mnauhuru wa kufanya chochote mkafikiri mtaendelea kunyanyasa na kupora mali za umma
 
Kumbe ni Prime Minister Kassim Majaliwa Majaliwa..?

Sasa huyu Salome Mgaya a.k.a Mama Bonge ni nani? Na kwanini Salome Mgaya halafu kesi inakuwa ya PM Majaliwa? Huyu Salome Mgaya ni mke wa PM au iko vipi?

Kalamu JokaKuu Waminyato
Duh!
Mkuu 'Palm Beach', umeniita kwenye mada ambayo nilikuwa nachungulia na kupita tu bila kusema kitu. Niseme wazi kwamba haya maswala ya aina hii yamekuwa mengi sana ndani ya nchi hii kiasi kwamba ni vigumu kufahamu ukweli ulipo.

Ninaepukana sana na mada kama hizi, kwa sababu zinasikitisha na kuumiza moyo kujuwa kwamba watu wanaopewa majukumu ya kuwasaidia wananchi, wao wanatumia fursa hizo kujineemesha na kukwamisha juhudi za wananchi. katika kutafuta maendeleo yao.

Taasisi zilizopo kushughulikia uchafu kama huo unaosemwa, ni kama hazipo. hao vijana wa Mwenge wanapiga kelele na madudu waliyoyaona huko walikokuwa wakipita, hakuna kinachofanyika. Ripoti ya CAG kila mwaka imejaa madudu, lakini limekuwa ni swala la kawaida tu kulifanya kila mwaka. Takukuru sijawahi hata siku moja kusikia ripoti yao ya mwaka ikieleza kazi walizotekeleza....

Kwa hiyo, nadhani inabidi tukubali kwamba maswala kama haya ni sehemu ya utendaji wa serikali iliyopo madarakani.

baada ya kusema yote haya, pengine sasa umenistua, nami nianze kujikaza, niache woga wa kuumiza akili na moyo kufuatilia uozo huu unaoendelea ndani ya nchi yetu kwa sasa.

N.B. Mkuu 'The Palm Beach', imenilazimu nirudi juu kwenye mada husika na kuipitia upya:
Nilicho nacho uhakika sasa ni kwamba hii ni vita kati ya makundi kati ya wahusika ndani ya serikali na chama.
Wananyukana.
Mada hii imefadhiriwa na moja ya makundi hayo.
 
Kuna jambo hapa, si bure.
Kuna msuguano wa aina fulani kati ya makundi mawili. muda si muda ukweli utajulikana.
 
Tetesi zilizotufikia ni kwamba mzee wa super black aliandika barua ya kujiuzulu lakini Hangaya amemkatalia. Na kumkumbusha juu ya hotuba yake ( hangaya) ya kuruhusu viongozi kula kwa urefu wa kamba zao.

Kwa hiyo, super black bado yupo yupo sana.
 
Wewe unaota mchana,hilo lichama mafisadi wote wanajificha humo.hutasikia chochote zaidi ya kulindana.kwani haya yameanza leo au umesahau historia?
 
Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Mwenyekiti na kamati kuu inayo mamlaka ya kuwajadili na kupendekeza majina matatu na lipatikane jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
Mshana sisi huku hatuna utamaduni uho Yani niache mpunga kilaisi hv[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tetesi zilizotufikia ni kwamba mzee wa super black aliandika barua ya kujiuzulu lakini Hangaya amemkatalia. Na kumkumbusha juu ya hotuba yake ( hangaya) ya kuruhusu viongozi kula kwa urefu wa kamba zao.

Kwa hiyo, super black bado yupo yupo sana.
TETESI!!!!
 
Hizo sentensi za mwisho ndiyo ukweli wa mambo...Aibu sana kwa nchi, watu wanatumia vyombo vya nchi kwa maslahi yao binafsi, cry my country...Lakini there is hope, ngoja tuone...
 
Hizo sentensi za mwisho ndiyo ukweli wa mambo...Aibu sana kwa nchi, watu wanatumia vyombo vya nchi kwa maslahi yao binafsi, cry my country...Lakini there is hope, ngoja tuone...
Wamepewa ruksa toka juu. Ni staili ya uongozi wa juu ndio unaoruhusu hayo, kwa hiyo wanautumia kama wanavyotarajiwa kuutumia.
Unapoambiwa na mkuu wako kwamba unakamba yenye urefu kadhaa utakaokuruhusu kula, wewe utaachaje kutumia fursa hiyo uliyopewa?
 
Huenda ni mwendelezo wa game la akina Ndugai. PM ndiye mteule pekee wa Magufuli aliyebaki. Huenda safari hii katengenezewa zengwe.
 
Hakika naunga mkono hoja, mada hii inafadhiliwa na kundi fulani.
 
Aaah, kumbe!

Kundi hili linanyukana na la PM ili ili mtu wao aunyakue u - PM..

Honestly, hakuna wakati mwingine tena ambapo Watanzania tunahitaji kuiona Tanzania mpya yenye mfumo mpya wa utawala wa kikatiba na kisheria usio na chembechembe za kijani asilani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…