Je, Azam FC ni timu ya Waislamu tu? Mbona uongozi umekaa kidini

"Uislam usiotija" pumbafffff zako.
 
Pointless
 
mbona liliishasemwa sana tu ewe mgagagigikoko?
 
Bora mhaya umekuja pale BOT mpo nyinyi na wachaga 99% mbona waislamu hawalalamiki na ni taasisi ya serikali ile.
 
Dah kuwa kufari ni mzigo.
Afu hawa jamaa ndio wanajikutaga wanajua sana kufuatilia maswala ya udini,,wakati wamejazana kwenye mataasisi kibao ya kiserikali.
Waislamu wakiwa watu wa kulalamika kama ninyi mbona nchi itakuwa haikaliki.
 
Waislamu ni Mafisadi hatari .. chunguza hata yule jamaa aliye pewa kuendesha brt ya mbagara huone nyuma yake wapo watu gani na pesa katoa wapi ? Mtandao hatari wa taifa wa ufisadi mkuu umeshikwa na waislamu...huu ni ukweli mtakatifu
 
Waislamu ni Mafisadi hatari .. chunguza hata yule jamaa aliye pewa kuendesha brt ya mbagara huone nyuma yake wapo watu gani na pesa katoa wapi ? Mtandao hatari wa taifa wa ufisadi mkuu umeshikwa na waislamu...huu ni ukweli mtakatifu
Ni kweli nakubali ila mikataba yote duniani ambayo nchi za Africa inaingia na mikataba ya kitapeli na ukandamizaji tunaingia na nchi zenye mlengo wa kikristo sijawahi kusikia hata siku moja waarabu wameingia mikataba ya kitapeli na nchi za Africa na vita vyote duniani vinakuwa financed na nchi za kikristo halafu wanawapa watu mikopo wanawaambia wakubali ushoga ila bandari kapewa mwarabu kelele kibao.
 
Hapa Azam ni udini tu
Alijitahidi kwenye media akaweka wakristo ndo Sasa inafanya vizuri.
Sasa hiyo timu yake imejaa makobazi watupu ambao wao elimu Dunia imewapita kando wao wamekariri Aya za kiarabu na upumbavu kama huo.
Ndo maana litimu licha ya kuwekeza halifanyi vyema, kwakuwa amejaza wavaa kobazi wasio na maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…